2017
Njooni, Njooni Kwake
April 2017


Njooni, Njooni Kwake

Ya Dhati

Picha
come come unto Him

1. Yeye alitujia; Alitupenda sana .

Hamna nafsi Yeye hayuko tayari kuigusa;

Hamna maisha ya giza asiyoweza kuyatia nuru.

Hakuna huzuni, hamna simanzi ambazo hawezi kurekebisha.

Njooni, njooni Kwake

2. Alikuja duniani; Aliishi kama mwanadamu.

Hamna shida za dunia Asizo zielewa;

Hamna machungu ya duniani hakuyasikia;

Hamna njaa, hamna huzuni kubwa hawezi kuponya.

Njooni, njooni Kwake

3. Yeye aliishi kama sisi, aliifahamu huzuni;

Kwa wale waaminio hutoa ahueni

Yeye huponya vipofu; Yeye husamehe dhambi

Kwa wanyenyekevu, waaminifu wamfuatao Yeye.

Njooni, njooni Kwake

Njooni Kwake Njooni mjifunze kuhusu Yeye.

Yeye ni mvumilivu na mnyenyekevu na mnyofu wa moyo.

Njooni, njooni Kwake

Ee, njooni, njooni Kwake

© 2016 na Steven K. Jones na Michael F. Moody. Haki zote zimehifadhiwa

Wimbo huu unaweza kunakiliwa kwa ajili ya mahitaji, yasiyo ya kibiashara ya matumizi kanisani ama nyumbani.

Chapisha