2017
Kueneza Injili
April 2017


Vigogo wa Historia ya Kanisa

Kueneza Injili

Tumia hizi kuelezea historia ya Kanisa!

Picha
First Missionaries

Baada ya Kanisa kuanzishwa, Baba wa Mbinguni alitaka kila mtu apate kujua kuhusu injili. Mmisionari wa kwanza alikuwa kaka yake Joseph Smith, Samuel, Hyrum, kaka mkubwa wa Joseph Smith, pia aliwafundisha wengine kuhusu injili. Siku moja mtu mmoja aliyeitwa Parley P. Pratt alimwambia Hyrum kuwa alikuwa ameshinda siku nzima akisoma Kitabu cha Mormoni. Hyrum alimfundisha zaidi kuhusu Kanisa, na kisha akabatizwa. Kisha Parley akahudumu misheni! Alikuja kuwa kiongozi katika Kanisa.

Chapisha