Rafiki
Marafiki kwa Barua
Julai 2024


“Marafiki kwa Barua,” Rafiki, Julai 2024, 1.

Marafiki kwa Barua

Mahali Ninaposoma Gazeti la Rafiki

Picha
Mvulana mwenye tabasamu akiwa ameshikilia jarida la Rafiki

Christian M., umri miaka 5, husoma jarida la Rafiki katika Kiingereza huko Wilaya ya Jiji la Nairobi, Kenya.

Pai ya Zaka

Picha
Msichana mwenye tabasamu akiwa ameshikilia bahasha ya zaka

Soma hadithi ya “Pai ya Zaka” (Des. 2022). Nilijifunza kwamba Baba wa Mbinguni hutupa vitu vyote tulivyo navyo. Hadithi hii ilinishawishi kulipa zaka yangu ili niweze kuwasaidia wengine. Ilinifanya nihisi furaha nilipolipa zaka yangu.

Charlotte S., umri miaka 7, Texas, Marekani

Napenda Kuona Hekalu

Picha
Msichana mwenye tabasamu akiwa amesimama mbele ya hekalu

Talita S., umri miaka 10, alitembelea Hekalu la Manaus Brazil.

Tunapenda kusikia kutoka kwa marafiki zetu!

Chapisha