Rafiki
Haruni Anamfundisha Mfalme
Julai 2024


“Haruni Anamfundisha Mfalme” Rafiki, Julai 2024, 26–27.

Hadithi za Maandiko

Haruni Anamfundisha Mfalme

Picha
Haruni akiwafundisha watu

Vielelezo na Andrew Bosley

Picha
Haruni akisimama mbele ya mfalme

Haruni alikuwa mmoja wa wana wa Mosia. Alikuwa mmisionari. Alimfundisha mfalme wa Walamani aliyetawala nchi yote.

Picha
Haruni anazungumza na mfalme

Haruni alimuuliza mfalme kama aliamini katika Mungu. Mfalme alisema angeamini kama Haruni angemwambia kwamba Kweli Mungu yupo. Alimwomba Aroni amsimulie zaidi kuhusu Mungu.

Picha
Haruni anafundisha kwa ufupi historia ya mbinguni.

Haruni alimsomea mfalme maandiko. Alifundisha kuhusu uumbaji wa dunia Alifundisha kuhusu mpango wa Mungu. Alimwaambia mfalme kuhusu Yesu Kristo.

Picha
Mfalme wa Walamani akiwa amepiga magoti

Baadaye, mfalme huyo alisali. Alimwuliza Mungu kama kile alichosema Haruni kilikuwa cha kweli. Mfalme alipokea jibu kwamba ni kweli.

Picha
Haruni anabatiza watu

Mfalme alimwamini Haruni alichofundisha Kila mtu wa kaya yake pia aliamini. Walibatizwa na kuchagua kumfuata Yesu Kristo.

Chapisha