Rafiki
Sabato ni nini?
Julai 2024


“Sabato ni nini?” Rafiki, Julai 2024, 46-47.

Misingi ya Injili

Sabato ni nini?

Picha
Familia ikipokea sakramenti kwa pamoja

Sabato ni jina jingine la Jumapili. Ni siku takatifu ya kufokasi juu ya Baba wa Mbinguni na Yesu Kristo.

Picha
Yesu Kristo

Siku ya Sabato, tunakula sakramenti ili kumkumbuka Yesu.

Picha
Familia ikisoma maandiko pamoja

Tunajifunza kuhusu Baba wa Mbinguni na Yesu Kristo nyumbani na kanisani.

Tunafurahia muda pamoja na familia yetu na kuwahudumia wengine.

Picha
Familia wakila mlo wa usiku pamoja

Baba wa Mbinguni anafurahi tunapoiheshimu siku ya Sabato.

Picha
PDF ya hadithi

Vielelezo na Apryl Stott

Chapisha