Rafiki
Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kwenda Kanisani
Julai 2024


“Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kwenda Kanisani,” Rafiki, Julai 2024, 44–45.

Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kwenda Kanisani

Picha
Watoto wakichora pamoja hekaluni wakati mwalimu akiwasomea

Vielelezo na Violet Lemay

Ninapoenda kanisani, ninaweza kujifunza kuhusu Yesu Kristo.

Picha
Watoto wakipokea sakramenti

Ninaweza kukaa kimya na kula sakramenti.

Picha
Watoto wakiimba pamoja

Ninaweza kuimba na kujifunza katika darasa la Watoto.

Picha
Familia ikitembea kwenda kanisani

Ninahisi vyema ndani yangu ninapokwenda kanisani.

Wakati wa Shughuli

Picha
Shughuli ya Watoto

Wasaidie Anna na familia yake wanaposafiri kwenda kwenye jengo la kanisa Jumapili

Chapisha