Rafiki
Je, Ninawezaje Kuitakasa Siku ya Sabato?
Julai 2024


Je, Ninawezaje Kuitakasa Siku ya Sabato? Rafiki, Julai 2024, 16.

Majibu kutoka kwa Mtume

Je, Ninawezaje Kuitakasa Siku ya Sabato?

Imetoholewa kutoka “Kuushinda Ulimwengu,” Liahona, Mei 2017, 58–62; na “A Compensatory Spiritual Power for the Righteous” (Brigham Young University devotional, Aug. 18, 2015), speeches.byu.edu.

Picha
Mvulana na msichana wakipokea sakramenti

Kielelezo na Brooke Smart

Pokea sakramenti na mkumbuke Yesu Kristo.

Jifunze maandiko na kusali.

Tumia muda na familia yako na watu wengine wanaohitaji usaidizi wako.

Fokasi juu ya Mwokozi na siku Yake takatifu, hata baada ya kanisa.

Chapisha