Rafiki
Kushiriki jarida la Rafiki
Julai 2024


“Kushiriki jarida la Rafiki,” Rafiki, Julai 2024, 18–19.

Kushiriki jarida la Rafiki

Hadithi hii ilitokea huko Kenya.

Picha
Msichana anakimbia nje ya nyumba, ameshika jarida, ili kumsalimia mama yake

Darasa la Watoto lilikuwaje?

Lilikuwa vyema. Na nimepata jarida langu la Rafiki!

Vizuri sana! Uko tayari kwenda nyumbani?

Ndiyo!

Picha
Msichana akisoma jarida huku anatembea na Mama
Picha
Msichana na Mama wanakutana na msichana mwingine na mama yake

Habari!

Habari!

Picha
Msichana kwa furaha anatazama jarida akiwa na mawazo akilini mwake

Kusoma jarida la Rafiki kunanifanya niwe mwenye furaha. Labda litamfanya kuwa na furaha pia.

Picha
Msichana anampa jarida msichana mwingine

“Hili ni kwa ajili yako! Ni jarida kuhusu Yesu Kristo.

Asante!

Picha
Msichana na Mama wanafika mlangoni pao

Ulifanya jambo jema.

Asante. Nilitaka ahisi furaha ninayohisi ninapojifunza kuhusu Yesu!

Picha
PDF ya hadithi

Vielelezo na Kelly Light

Chapisha