Rafiki
Kuwaleta Wengine kwa Kristo
Julai 2024


“Kuwaleta Wengine kwa Kristo,” Rafiki, Julai 2024, 49.

Kristo katika Kitabu cha Mormoni

Kuwaleta Wengine kwa Kristo

“Na ikawa kwamba aliamuru kwamba watoto wao wachanga waletwe. Kwa hivyo walileta watoto wao wachanga na kuwapanga chini juu ya ardhi kumzunguka, na Yesu alisimama katikati; na umati ulitoa nafasi mpaka wote walipoletwa kwake” (3 Nefi 17:11–12

Picha
Yesu Kristo pamoja na watoto

Mchoro na Casey Childs

Chapisha