Julai 2024 Marafiki WapendwaSoma ujumbe kuhusu shuhuda. Marafiki kwa BaruaSoma baadhi ya barua kutoka kwa rafiki zetu kote ulimwenguni! Henry B. EyringKushiriki Kile UnachoaminiRais Eyring anashiriki ujumbe kuhusu kushiriki injili. Rebekah JakemanUchaguzi wa JumapiliEvolett anachagua kuishika kitakatifu Sabato na kumwalika rafiki yake kanisani. Kumfuata Yesu huko NikaraguaKutana na Felix kutoka Nikaragua na ujifunze jinsi yeye anavyomfuata Yesu. Salamu kutoka NikaraguaFanya ziara ili ujifunze kuhusu Nikaragua! Heather SullivanSauti kubwa na Rangi AngavuCharlotte anaushinda woga wake wa baruti. Sanaa ya Mpango wa FurahaTengeneza sanaa ya mpango wa furaha ili kujifunza mpango wa Mungu kwa ajili ya watoto wake. Rebekah JakemanUkumbi wa MaandikoJonny na familia yake wanatafuta njia ya burudani ya kutakasa siku ya Sabato. Neil L. AndersenJe, Ninawezaje Kuishika Kitakatifu Siku ya Sabato?Soma ujumbe kutoka kwa Mzee Neil L. Andersen kuhusu kuitakasa siku ya Sabato. Shughuli za JumapiliMchezo wa kusaidia watoto kufanya mambo yenye kuinua yenye kuheshimu Sabato. Lucy Stevenson EwellKushiriki Jarida la RafikiSasha anashiriki jarida la Rafiki na mtu mwingine kwa sababu anataka watu hao wauone upendo wa Yesu. Kumfuata Yesu kwa PamojaMkusanyiko wa nukuu za watoto kutoka ulimwenguni kote. Uwekaji Wakfu Mahekalu ni Nini?Kadi za kila mwezi kuhusu mahekalu ulimwenguni kote na kweli kuhusu mahekalu. Njoo, Unifuate Abish Anashiriki InjiliShughuli ya picha iliyofichwa ya Abish kutoka Kitabu cha Mormoni. Abish Alikuwa Nani?Jifunze kuhusu Abish na jinsi alivyoshuhudia juu ya Yesu Kristo. Haruni Anamfundisha MfalmeSoma hadithi kuhusu jinsi Haruni alivyomfundisha mfalme kuhusu Mungu. Shughuli za Njoo, UnifuateTumia shughuli hizi ili kujifunza Njoo, Unifuate pamoja na familia yako. Alelie Camitan-CoronelKuwatembelea Bibi na BabuErnesto anaenda nyumbani kwa bibi na babu yake na ni mfano mwema kwao. Clark G. GilbertShangwe ya KuegamaMzee Gilbert anasimulia kuhusu jinsi alivyojifunza kufanya vyema shuleni na kwa usaidizi wa Baba wa Mbinguni. Margo na PaoloPaolo ana wasiwasi kuhusu ripoti za kitabu shuleni. Sehemu ya Watoto Wakubwa Sehemu ya Watoto WakubwaUtangulizi wa sehemu ya Watoto Wakubwa. Jane McBrideRaina Anajaribu TenaRaina anataka kujaribu kitu kipya na anaingia katika shindano la insha lakini anakata tamaa wakati anapokuwa hashindi. Nini kipo Akilini Mwako?Vidokezo kwa ajili ya watoto wakubwa kukabiliana na hali ngumu na kujenga ujasiri wa kihisia. Ukurasa wa Kupaka RangiUkurasa wa kupaka rangi kuhusu jinsi gani Baba wa Mbinguni anaweza kutusaidia. Mazungumzo na Alan kuhusu Makala ya ImaniAlan kutoka Hispania anasimulia kuhusu jinsi Makala ya Imani ilivyomsaidia yeye kushiriki injili. Daryn B.Mimi NinapendwaDaryn B. Anashiriki jinsi anavyohisi upendo wa Baba wa Mbinguni licha ya changamoto za kiafya anazopitia. Sehemu ya Marafiki Wadogo Sehemu ya Marafiki WadogoKutana na baadhi ya marafiki wadogo kutoka ulimwenguni kote. Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kwenda KanisaniHadithi na shughuli kwa ajili ya watoto wadogo kuhusu kwenda kanisani Sabato ni nini? Hadithi fupi kwa ajili ya watoto wadogo kuhusu Sabato. Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuonyesha UpendoUkurasa wa kupaka rangi wa watoto wakishiriki kuhusu Yesu Kristo. Kuwaleta Wengine kwa KristoSanaa nzuri ya Kitabu cha Mormoni ya watoto wakiwaleta wengine kumsikiliza Kristo Wapendwa WazaziSomeni ujumbe kwa ajili ya wazazi kuhusu kujaribu tena.