Rafiki
Margo na Paolo
Julai 2024


“Margo na Paolo,” Rafiki, Julai 2024, 34.

Margo na Paolo

Paolo anaweka gundi kwenye bango pembeni ya Bibi

Linaonekana vizuri! Uko tayari kwa ripoti ya kitabu kesho?

Paolo akionekana mwenye wasiwasi

Sijui. Ninapatwa na wasiwasi ninapoongea mbele za watu.

Bibi anaweka mkono wake begani mwa Paolo

Utafanya vizuri sana! Umejiandaa na umefanya kazi kwa bidii. Tusali ili ikusaidie kujisikia vizuri.

Bibi anamsalimia Margo na Paolo mlangoni wakiwa na sahani ya maandazi ya Kibrazil

Siku inayofuata …

Kazi nzuri, Paolo! Nimekutengenezea karamu uipendayo.

Lakini nilifanya vibaya mno! Nilidondosha bango langu na kuvuruga maneno yangu yote.

Bibi anatabasamu

Ulifanya kadiri uwezavyo. Hilo ni jambo la kusherehekea! Njoo tusimulie kitu ulichojifunza.

Familia ikipiga makofi mwishoni mwa wasilisho ya Paolo

Kazi nzuri! Tunajivunia sana juu yako.

Sasa nataka kusoma kitabu hicho pia!

PDF ya hadithi

Vielelezo na Katie McDee