Julai 2024 Karibu kwenye Toleo HiliEduardo GavarretLeo Ni Siku ya Kushiriki Injili ya MwokoziUtangulizi kwa dhima ya toleo hili: kushiriki injili. Makala Zilizoangaziwa Quentin L. CookKazi kubwa ya Bwana na Fursa yetu KubwaMzee Cook anawahimiza Watakatifu kutumia fursa hizi ili kumsaidia Bwana Yesu Kristo katika kazi Yake kubwa ya kuzileta nafsi Kwake. Eduardo GavarretMaandalizi Mazuri kwa ajili ya MaishaMzee Gavarret anafundisha kwamba kitu ambacho wavulana na wasichana wanajifunza wakiwa katika misioni kitabariki maisha yao milele. Tannie M. FlammerUjasiri wa Kushiriki Kitu Ninachokithamini ZaidiKijana mkubwa anaweka lengo la kushiriki Kitabu cha Mormoni kila wakati anapofanya safari kama kiongozi wa washangiliaji wa chuo. Christy MonsonHadithi ya Mafanikio ya Mmisionari: Miaka 60 ya MaandaliziMwandishi anajua juu ya uongofu wa mwanamke kikongwe, ambaye mwanzoni alifundishwa injili miaka mingi iliyopita na mume wa mwandishi ambaye sasa ni marehemu. Kuzeeka kwa UaminifuNorman C. HillUsikose Misheni za WakubwaJe, unataka kuleta tofauti kwako wewe mwenyewe na kwa wale unaowahudumia? Kuna maelfu ya fursa kwa ajili ya wamisionari wakubwa. Kanisa Liko HapaNairobi, KenyaMaelezo juu ya ukuaji wa Kanisa nchini Kenya. Suluhu za Injili Becca Aylworth WrightMaongezi ya Familia kuhusu KujiuaJinsi wazazi wanavyoweza kuzungumza na watoto kuhusu kujiua mapema kabla ya kupitia mawazo ya kujitoa uhai. Gail NewboldMwili Wako: Kuitunza Zawadi Hiyo TakatifuUtunzaji wa miili yetu unahitaji nidhamu binafsi na kujitolea sawa na vile tunavyohitaji ili kustawisha afya yetu ya kiroho. Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho London BrimhallNafsi Yangu Ilitamani Kuwa PaleKupitia hadithi pendwa ya maandiko, Roho Mtakatifu anamsaidia msichana aelewe kwamba Mungu anaujua moyo wake. Don Osaheni Agbon-ogievaUjumbe Wangu kutoka kwa MunguMwongofu anapokea ushuhuda juu ya Kanisa kupitia Kitabu cha Mormoni. Helen HughesKutoka Gizani Hadi kwenye FurahaMwalimu anapata amani kupitia ibada zake za hekaluni. Jennifer Casama“Tafadhali Msaidie”Mwanamke anafanya kazi akiwa na mshauri wa kazi ya hekaluni na historia ya familia ili kuwatafuta mababu baada ya ndoto. Posenai PatuMungu Alinionyesha kuwa Nilikuwa na DhumuniBaada ya kuwa mtu aliyepooza, mtu huyu analipata Kanisa na anagundua njia kadhaa za kuhudumu. Njoo, Unifuate Je, Ungeweza Kuacha Nini ili Kumjua Mungu?Majadiliano juu ya mafundisho katika Alma 22: “Nitaacha dhambi zangu zote ili kukujua wewe” (mstari wa 18). Je, Tunaweza Kusali Kuhusu Nini?Majadiliano juu ya mafundisho katika Alma 33–34 kuhusu sala. Sanaa ya Kitabu cha MormoniAlma na AmulekiSanaa ya kuvutia inayoonesha tukio linalohusiana na maandiko. Vijana Wakubwa Hiu Yan Lam (Heidi)Ningewezaje Kumtumaini Baba wa Mbinguni Wakati Nilipohisi Nimesimama Peke Yangu?Vijana wakubwa, imani, tumaini, Yesu Kristo, Mungu Baba, dhiki, upinzani David AdrianoKweli Mbili Ambazo Zinanisadia Nielewe UnyenyekevuUnyenyekevu, asili takatifu, vijana wakubwa Kurasa za Eneo la Afrika ya Kati Dhahabu Safi Jinsi ya Kuwa Mwanafunzi wa Yesu Kristo Ushuhuda wa Ndoa Wanafunzi wa Shule ya Mt. Theresa Kujiunga na Seminari na Miujiza Kufuata Kumtegemea Mungu Tawi la Kwanza la Kanisa la Yesu Kristo Linaanzishwa huko Baraka, Kivu ya Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Akidi za Ukuhani wa Haruni Wito Wa Makala Nyenzo Maalumu za Kanisa za Mtandaoni