2023
Marafiki Wapendwa
Mei 2023


“Marafiki Wapendwa,” Rafiki, Mei. 2023, ndani ya jalada la mbele.

Marafiki Wapendwa,

Picha
Jesus Christ (dressed in light colored robes) standing under a stone arch. Several other arches are in the background. Vines and flowers are growing on the arches. Christ is holding out His hand (as if to feed) to three little birds sitting on a limb. The painting depicts the concept of Christ's concern for "even the least" of all creation. (Matthew 25:40)

Je, wewe ni mkarimu kwa wengine? Nabii wetu anatutaka tumfuate Yesu Kristo kwa kuwa wapatanishi popote tunapoenda. Unaweza kusoma ujumbe wake kutoka kwenye mkutano katika ukurasa wa 2. Wafuasi wa kweli wa Yesu Kristo husema na kufanya mambo mema. Fikiria njia nyingine unazoweza kuwa mkarimu zaidi au mwenye upendo wa hali ya juu. Unaweza kutengeneza barakoa ya huduma ya kishujaa kwenye ukurasa wa 12 ili kukusaidia kukumbuka. Chaguzi zetu za wema zinaweza kubadilisha ulimwengu!

Kwa upendo,

Gazeti la Rafiki

Tafadhali. Andika na utuambie kuhusu wakati ambapo wewe ulikuwa mpatanishi!

Chapisha