2023
Onesha na Elezea kutoka kwenye Mkutano
Mei 2023


“Kumfuata Yesu kwa Pamoja,” Rafiki, Mei 2023, 6-7.

Onesha na Elezea kutoka kwenye Mkutano

Picha
alt text

“Kuna Nuru ya Kristo katika Kila Mtoto Anayezaliwa,” Ada W., miaka 10, Utah, Marekani.

Picha
alt text

Ruoyun H., miaka 11, Jimbo la Taiwan, Taiwan

Picha
alt text

“Shuhudia Kwamba Kristo yu Hai,” Morôni N., miaka 8, São Paulo, Brazili

Picha
alt text

Gabin F., miaka 7, Brussels, Ubelgiji

Picha
alt text

“Yesu Ananipenda,” J.D. B., miaka 10, Alabama, Marekani

Picha
alt text

Hotuba niliyoipenda zaidi ilikuwa kutoka kwa nabii. Hunifanya nitake kuwa mtu bora na hunisaidia nitambue jinsi ndugu zangu walivyo muhimu kwangu. Naweza Kuwa mwema kwao na kuwa mpatanishi.

Lydia S., miaka 8, Texas, Marekani

Picha
alt text

Tunasafiri kutazama mkutano mkuu katika hoteli pamoja na washiriki wengine katika eneo letu. Ninapenda kuwaona rafiki zangu kutoka matawi mengine na kupokea kutiwa moyo kutoka kwa wazungumzaji.

Elise M., miaka 10, Nairobi, Kenya

Picha
alt text

Kipengele ninachokipenda zaidi ni muziki, hasa kutazama vidole vya mpiga kinanda vikiruka kwenye sehemu tofauti tofauti za kinanda. Mkutano huu ulikuwa wa kipekee sana kwa sababu rafiki yetu alisafiri kwa ndege kutoka Taiwan ili kuimba na kwaya. Tunajivunia yeye!

Tristan W., miaka 7, New Taipei City, Taiwan

Picha
alt text

Ninapenda mkutano kwa sababu ninaweza kusikia maneno ya Yesu Kristo kupitia nabii na mitume.

Shelem., miaka 6, Durango, Mexico

Picha
alt text

Mkutano mkuu hunifanya niwe na furaha! Ujumbe wenye kutia moyo kutoka kwa nabii hunipa shangwe.

Michel O., miaka 7, Rivers State, Nigeria

Picha
alt text

Ninapenda kwenda kanisani na familia yangu wakati wa mkutano ili kumuona nabii kwenye skrini kubwa. Ninamhisi Roho katika moyo wangu.

Levi B., miaka 6, Victoria, Australia

Picha
alt text

Tunakusanyika pamoja kama familia kabla ya mkutano na kuandika maswali tuliyo nayo. Tunatazama mkutano na kusaidiana kusikiliza majibu ya maswali yetu.

Carter, Asher, Sariah, Jet, na Willow S., miaka 6, 12, 8, 10, na 2, Queensland, Australia

Chapisha