2023
Kwa ajili ya Marafiki Wadogo
Mei 2023


“Kwa Ajili ya Marafiki Wadogo,” Rafiki, Mei. 2023, 43.

Kwa ajili ya Marafiki Wadogo

Picha
Picha ya mvulana akitabasamu

Nilisaidia kusafisha nyumba ya watoto yatima. Ninahisi furaha ninapohudumu!

Richard E., miaka 4, Guárico, Venezuela

Picha
Picha ya msichana akitabasamu

Ninaisaidia familia yangu kwa kucheza na mdogo wangu wa kiume, Pablo.

Luciana M., miaka 3, Michoacán, Mexico

Kilichoko Ndani:

Chapisha