2023
Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa Mnyenyekevu
Mei 2023


“Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa Mnyenyekevu,” Rafiki, Mei 2023, 44–45.

Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa Mnyenyekevu

Picha
Mvulana mwenye tabasamu akiwa ameshikilia maandiko

Ninapokuwa mnyenyekevu, ninamfuata Yesu.

Picha
Familia imepiga magoti katika sala

Ninaweza kuwa mnyenyekevu wakati wa sala ya familia.

Picha
Familia ikishiriki sakramenti

Ninaweza kumfikiria Yesu wakati wa sakramenti.

Picha
Watoto wameketi na wakisikiliza katika darasa la Msingi

Ninaweza kuketi kwa unyenyekevu katika darasa la Msingi.

Wakati wa Shughuli

Picha
Watoto wameketi na wakisikiliza katika darasa la Msingi

Vielelezo na Violet Lemay

Kuwa mnyenyekevu kanisani ni njia mojawapo tunayoonesha upendo kwa Yesu Kristo. Ni kwa jinsi gani watoto hawa wanakuwa wanyenyekevu? Ni mioyo mingapi unaweza kuipata?

Chapisha