2023
Habari za Mkutano
Mei 2023


“Habari za Mkutano,” Rafiki, Mei 2023, 4.

Habari za Mkutano

Picha
alt text here

Nukuu za Mkutano

Mahekalu Mapya

Je, Rais Nelson ametangaza mahekalu mangapi tangu awe nabii mwaka 2018?

  • 19 mwaka 2018+

  • +16 mwaka 2019

  • +14 mwaka 2020

  • +34 mwaka 2021

  • +35 mwaka 2022

  • +15 katika mkutano huu

  • =_______ jumla ya mahekalu

Urais Mpya wa Wasichana

Mnamo Agosti 1, 2023, Dada Freeman atakuwa Rais Mkuu mpya wa Wasichana. Dada Runia na Dada Spannaus watakuwa washauri wake.

Mkutano wa Jumapili ya Matawi

Mkutano huu ulifanyika Jumapili ya Matawi, siku ambayo tunasherehekea Yesu kuingia Yerusalemu. Wazungumzaji wengi walituomba tufokasi zaidi juu ya Mwokozi wakati wa Pasaka.

Kuimba Pamoja

Watu kumi kutoka duniani kote walikuja kuimba na Kwaya ya Tabernacle kwenye mkutano huu! Oanisha majina ya nchi ambazo waimbaji walitoka kwenye ramani.

Mexico

Brazil

Ghana

Malaysia

Ufilipino

Taiwan

Chapisha