2023
Wapendwa Wazazi
Mei 2023


“Wapendwa wazazi,” Rafiki, Mei. 2023, jalada la nyuma.

Wapendwa Wazazi,

Picha
PDF ya hadithi

Ni jinsi gani unawasaidia watoto wako wakumbuke kile tulichosikia katika mkutano mkuu mwezi uliopita? Ni hadithi zipi wanazikumbuka? Ni hotuba zipi mnataka kuzifokasia kama familia? Someni kile nabii wetu alichokisema kwenye ukurasa wa 2. Au someni hadithi za mkutano mkuu kwenye ukurasa wa 5. Mngeweza pia kuangalia kwenye ukurasa wa 3 kwa ajili ya mahekalu mapya yaliyotangazwa na myatafute kwenye ramani pamoja na watoto wako.

Ni baraka kusikia kutoka kwa manabii walio hai!

Kwa Upendo,

Gazeti la Rafiki

Chapisha