2023
Ubatizo wa Hekaluni
Mei 2023


“Maagano ya Hekaluni,” Rafiki, Mei 2023, 13.

Njia Yangu ya Agano

Ubatizo wa Hekaluni

Baba wa Mbinguni ana baraka nzuri kwa ajili yako kote katika njia yako ya kurudi Kwake!

Picha
PDF ya hadithi

Vielelezo na Brooke Smart

Ndani ya mahekalu, tunaweza kubatizwa kwa niaba ya watu waliofariki bila kujifunza kuhusu injili. Watu hao wanaweza kuchagua ama kukubali ubatizo huo. Kama unastahili, unaweza kupokea kibali cha hekaluni katika mwaka unapofikia umri wa miaka 12.

Chora hekalu lililo karibu sana na pale unapoishi:

Siku nitakayoenda:

Mtu nitakayeenda naye:

Jinsi nitakavyojitayarisha:

Chapisha