2023
Kadi za Mahekalu
Mei 2023


“Kadi za Mahekalu,” Rafiki, Mei 2023, 29.

Kitu cha kuburudisha

Kadi za Mahekalu

Kata na uondoe ukurasa huu, ubandike kwenye karatasi nzito, na kata na uondoe kadi.

Picha
PDF ya hadithi

Vielelezo na Bailey Rees

Hekalu la Kinshasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Liliwekwa wakfu Aprili 14, 2019 na Mzee Dale G. Renlund

Hekalu la Durban Afrika Kusini

Liliwekwa wakfu Februari 16, 2020 na Mzee Ronald A. Rasband

Hekalu la Winnipeg Manitoba

Liliwekwa wakfu Oktoba 31, 2021 na Mzee Gerrit W. Gong

Hekalu la Pocatello Idaho

Liliwekwa wakfu Novemba 7, 2021 na Rais M. Russell Ballard

Hekalu la Rio de Janeiro, Brazil

Liliwekwa wakfu Mei 8, 2022 na Mzee Gary E. Stevenson

Hekalu la Yigo Guam

Liliwekwa wakfu Mei 22, 2022 na Mzee David A. Bednar

Hekalu la Praia Cabo Verde

Liliwekwa wakfu Juni 19, 2022 na Mzee Neil L. Andersen

Hekalu la Quito Ecuador

Liliwekwa wakfu Novemba 20, 2022 na Mzee Quentin L. Cook

Hekalu la Belém Brazil

Liliwekwa wakfu Novemba 20, 2022 na Mzee Dale G. Renlund

Chapisha