2023
Ninawezaje Kuwa Tayari Kwa ajili ya Hekalu?
Mei 2023


“Ninawezaje Kuwa Tayari Kwa ajili ya Hekalu?” Rafiki, Mei 2023, 28

Majibu kutoka kwa Mtume

Ninawezaje Kuwa Tayari Kwa ajili ya Hekalu?

Imetoholewa kutoka “Jione Hekaluni,” Liahona, Mei 2016, 97–101.

Picha
Mvulana na msichana wakifikiri kuhusu hekalu

Vielelezo na Kelly Smith

Fikiri kuhusu vile itakavyokuwa kuingia ndani ya hekalu siku moja.

Picha
Familia ikiangalia mkutano mkuu

Shangilia wakati mahekalu mapya yanapotangazwa.

Picha
Kikundi cha watoto katika darasa la Msingi

Jifunze kuhusu mpango wa Baba wa Mbinguni kwa ajili ya watoto Wake.

Picha
Watoto watatu wakitabasamu

Ishi kwa kustahili kuwa na kibali cha hekaluni.

Chapisha