2023
Huduma ya Shujaa Mkuu
Mei 2023


“Huduma ya Shujaa Mkuu,” Rafiki, Mei 2023, 12.

Kitu cha kuburudisha

Huduma ya Shujaa Mkuu

Picha
PDF ya hadithi

Katika hadithi na sinema, mashujaa wakuu hutumia nguvu za kufikirika ili kuwasaidia watu. Katika maisha halisi, unaweza kutumia ukarimu wako kuwasaidia wengine!

  1. Pamba kinyago chako na kikate kwenye umbo lake.

  2. Toboa matundu mawili kwenye kinyago. Funga kipande cha uzi kupitia kila tundu.

  3. Vaa kinyago chako na nenda kamsaidie mtu mwenye shida!

Chapisha