2023
Margo na Paolo
Mei 2023


“Margo na Paolo,” Rafiki, Mei 2023, 34.

Margo na Paolo

Picha
Familia ikiwa nje ya hekalu huko Brazil

Vielelezo na Katie McDee

Nina furaha sana kwamba tunakwenda kuunganishwa pamoja kama familia!

Mimi pia.

Picha
Msichana akimtekenya mtoto mvulana na mvulana mkubwa akitabasamu

Je, umesikia hilo, Lucas? Tunakwenda kuwa familia ya milele!

Na ni mara yetu ya kwanza kuingia ndani ya hekalu!

Picha
Familia wakitazama juu hekaluni.
Picha
Mama, mvulana na msichana wakitabasamu

Ndiyo, ni siku maalumu. Je, unaweza kuhisi hisia za amani hapa?

Ndiyo!

Picha
Baba akitabasamu

Hiyo ni kwa sababu hii ni nyumba ya Bwana.

Picha
Familia iliyovalia mavazi meupe wakikumbatiana

Chapisha