2010–2019
Kuidhinisha Viongozi Wakuu wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo, na Maafisa Wakuu wa Kanisa
Mkutano Mkuu wa Oktoba 2019


Kuidhinisha Viongozi Wakuu wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo, na Maafisa Wakuu wa Kanisa

Akina kaka na akina dada, inapendekezwa kwamba tumuidhinishe Russell Marion Nelson kama nabii, mwonaji, na mfunuzi na Rais wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho; Dallin Harris Oaks kama Mshauri wa Kwanza katika Urais wa Kwanza; na Henry Bennion Eyring kama Mshauri wa Pili katika Urais wa Kwanza.

Wale wanaounga mkono wanaweza kuonesha.

Wale wanaopinga, kama wapo, wanaweza kuonesha.

Inapendekezwa kwamba tumuidhinishe Dallin H. Oaks kama Rais wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili na M. Russell Ballard kama Kaimu Rais wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili.

Wanaounga mkono, tafadhali onesheni.

Yeyote anayepinga anaweza kuonesha.

Inapendekezwa kwamba tuwaidhinishe wafuatao kama washiriki wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili: M. Russell Ballard, Jeffrey R. Holland, Dieter F. Uchtdorf, David A. Bednar, Quentin L. Cook, D. Todd Christofferson, Neil L. Andersen, Ronald A. Rasband, Gary E. Stevenson, Dale G. Renlund, Gerrit W. Gong, na Ulisses Soares.

Wanaounga mkono, tafadhali onesheni.

Yeyote anayepinga anaweza kuonesha.

Inapendekezwa kwamba tuwaidhinishe washauri katika Urais wa Kwanza na Akidi ya Mitume Kumi na Wawili kama manabii, waonaji, na wafunuzi.

Wote wanaounga mkono, tafadhali onesheni.

Kinyume, kama kuna yeyote, kwa ishara hiyo hiyo.

Inapendekezwa kwamba tuwapumzishe kwa shukrani kutokana na huduma yao ya kujitolea Wazee Wilford W. Andersen, Kim B. Clark, Lawrence E. Corbridge, Claudio R. M. Costa, Bradley D. Foster, O. Vincent Haleck, Donald L. Hallstrom, Steven E. Snow, na Larry Y. Wilson kama Viongozi Wakuu Wenye Mamlaka wa Sabini na kuwapa hadhi ya heshima baada ya kupumzishwa.

Wale ambao wangependa kuungana nasi katika kutoa shukrani kwa Ndugu hawa na familia zao kwa huduma yao kuu, tafadhali onesheni.

Inapendekezwa kwamba tuwapumzishe wafuatao kama Sabini wa Maeneo: Julio C. Acosta, Blake R. Alder, Alain L. Allard, Omar A. Alvarez, Taiichi Aoba, Carlos F. Arredondo, Aley K. Auna Jr., Grant C. Bennett, Michael H. Bourne, Rómulo V. Cabrera, Wilson B. Calderón, Hernando Camargo, José C. F. Campos, Nicolás Castañeda, Walter Chatora, Zeno Chow, Robert J. Dudfield, J. Kevin Ence, Meliula M. Fata, K. Mark Frost, Claude R. Gamiette, Maurício G. Gonzaga, Leonard D. Greer, Jose L. Isaguirre, Tae Gul Jung, Sergio L. Krasnoselsky, Milan F. Kunz, Bryan R. Larsen, G. Kenneth Lee, Geraldo Lima, W. Jean-Pierre Lono, Khumbulani Mdletshe, Dale H. Munk, Norman R. Nemrow, Yutaka Onda, Wolfgang Pilz, Raimundo Pacheco De Pinho, Gennady N. Podvodov, Abraham E. Quero, Marco A. Rais, Steven K. Randall, Francisco J. Ruiz de Mendoza, Edwin A. Sexton, Raúl H. Spitale, C. Walter Treviño, ‘Aisake K. Tukuafu, Juan A. Urra, Raul S. Villanueva, na Leonard Woo.

Wale wanaopenda kuungana nasi kutoa shukrani kwa huduma yao nzuri, tafadhali onesheni.

Inapendekezwa kwamba tuwaidhinishe wafuatao kama Sabini wapya wa Maeneo: Michel J. Carter, Alfred Kyungu, R. Pepper Murray, Ryan K. Olsen, na Iotua Tune.

Wale wanaounga mkono wanaweza kuonesha.

Wale wanaopinga, kama wapo, wanaweza kuonesha.

Inapendekezwa kwamba tuwaidhinishe Viongozi wengine Wakuu Wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo, na Maafisa Wakuu wa Kanisa Kama ilivyo sasa.

Wote wanaounga mkono, tafadhali onesheni.

Kinyume, kama kuna yeyote, kwa ishara hiyo hiyo.

Wale waliopinga mapendekezo yoyote wanapaswa kuwasiliana na rais wao wa kigingi.

Akina kaka na akina dada, tunashukuru kwa imani na sala zenu endelevu kwa niaba ya viongozi wa Kanisa.

Chapisha