Mkutano Mkuu wa Oktoba 2019 Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Jeffrey R. HollandUjumbe, Maana, na UmatiMzee Holland anatukumbusha siku zote kuweka fokasi yetu kwa Mwokozi kama kiini cha maisha yetu, imani yetu, na huduma yetu. Terence M. VinsonWafuasi wa Kweli wa MwokoziMzee Vinson anafundisha kuhusu umuhimu wa kujitolea kuwa mfuasi wa Yesu Kristo Stephen W. OwenKuwa Mwaminifu, Siyo Asiye na ImaniKaka Owen anafundisha jinsi tunavyoweza kulishwa kiroho kwa kujifunzia na kuishi injili kulikolenga nyumbani, kunakosaidiwa na Kanisa. D. Todd ChristoffersonShangwe ya WatakatifuMzee Christofferson anafundisha kuhusu shangwe inayokuja kwa kutii amri, kwa kushinda changamoto, na kwa kuhudumu jinsi Yesu alivyohudumu. Michelle CraigUwezo wa KirohoDada Craig anafundisha jinsi tunaweza kuongeza uwezo wetu wa kiroho wa kupokea ufunuo. Dale G. RenlundMsimamo Thabiti kwa Yesu KristoMzee Renlund anafundisha kwamba Mungu anatualika kutupa njia zetu za zamani mbali kabisa na ufiko wetu na kuanza maisha mapya katika Kristo, tukionesha msimamo wetu kwa kufanya na kushika maagano. Dallin H. OaksMtumaini BwanaRais Oaks anafundisha kwamba kumtumaini Bwana ni njia mbadala iliyo bora wakati tunapokuwa na maswali juu ya mambo ambayo bado hayajafunuliwa. Kikao cha Jumamosi Alasiri Kikao cha Jumamosi Alasiri Henry B. EyringKuidhinisha Viongozi Wakuu wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo, na Maafisa Wakuu wa KanisaRais Eyring anawasilisha viongozi wa Kanisa kwa ajili ya kura ya kuwaidhinisha. David A. BednarWaangalifu Siku Zote kwenye SalaAkitumia duma kama mfano wa wanyama walao wanyama wengine, Mzee Bednar anafundisha njia tatu za kujihadhari na mbinu za ibilisi. Rubén V. AlliaudKupatikana kupitia Nguvu ya Kitabu cha MormoniMzee Alliud anafundisha jinsi uongofu unavyoweza kutokea kupitia kweli zenye nguvu ndani ya Kitabu cha Mormoni. Russell M. NelsonMashahidi, Akidi za Ukuhani wa Haruni, na Madarasa ya WasichanaRais Nelson anatangaza mabadiliko ya sera kuhusu mashahidi na marekebisho kwenye akidi za Ukuhani wa Haruni na madarasa ya Wasichana. Quentin L. CookMarekebisho ya Kuimarisha VijanaMzee Cook anatangaza mabadiliko ya kimuundo yaliyokusudia kusaidia uaskofu kufokasi kwenye majukumu yao ya kuwatunza vijana. Mark L. PaceNjoo, Unifuate—Mkakati ya Kukinza na Mpango Hai wa BwanaRais Pace anafundisha kwamba kujifunza Njoo, Unifuate kunapinga mashambulizi ya adui na kuwaleta waumini karibu zaidi kwa Mungu na familia zao. L. Todd BudgeUaminifu Endelevu na ThabitiMzee Budge anafundisha kuhusu kuamini katika Bwana pale anapolinganisha safari ya Wayaredi na safari yetu kupitia maisha ya duniani. Jorge M. AlvaradoBaada ya Majaribu ya Imani YetuMzee Alvarado anashiriki mifano ya wale ambao walishuhudia miujiza baada ya majaribu ya imani yao. Ronald A. RasbandKusimamia Ahadi na Maagano YetuMzee Rasband anatukumbusha juu ya jinsi ilivyo muhimu kwamba tutunze maagano na ahadi ambazo tunafanya kwa Bwana na kwa wengine. Kikao cha Mkutano Mkuu wa Wanawake Kikao cha Mkutano Mkuu wa Wanawake Reyna I. AburtoKwenye Mawingu na Jua, Bwana, Kaa Nami!Dada Aburto anashuhudia kwamba Mwokozi anaweza kuwasaidia watoto wote wa Mungu kuvumilia udhaifu wa kiakili na kimwili. Lisa L. HarknessKuheshimu Jina LakeDada Harkness anafundisha kile inachomaanisha kujichukulia juu yetu jina la Yesu Kristo na daima kumkumbuka Yeye. Bonnie H. CordonMabinti WapendwaDada Cordon anatangaza marekebisho kwenye taasisi ya wasichana na anafundisha kwamba mabadiliko yatawasaidia wasichana kusogea karibu na Mwokozi. Henry B. EyringWanawake wa Maagano kwenye Ubia na MunguRais Eyring anafundisha jinsi wanawake ambao wamefanya maagano wanaingia ubia na Mungu kuwatumikia watoto Wake na hivyo kujiandaa wao wenyewe kurudi Kwake. Dallin H. OaksAmriMbili KuuRais Oaks anaelezea jinsi amri ya kumpenda Mungu na kumpenda jirani yetu zinavyohusiana na muingiliano wetu na wale wanaojitambulisha kama LGBT. Russell M. NelsonHazina za KirohoRais Nelson anafundisha kwamba wanawake waliopokea endaumenti kwa nguvu ya ukuhani ndani ya hekalu wanaweza kufikia nguvu ya Mungu katika maisha yao. Kikao cha Jumapili Asubuhi Kikao cha Jumapili Asubuhi Gerrit W. GongKuwa wa MaaganoMzee Gong anaelezea baraka za kuingia katika uhusiano wa agano na Mungu na sisi kwa sisi. Cristina B. FrancoKupata Shangwe katika Kushiriki InjiliDada Franco anafundisha umuhimu wa kushiriki injili na wale wanaotuzunguka. Dieter F. UchtdorfTukio Lako KubwaMzee Uchtdorf anafundisha kuhusu safari yetu ya ufuasi na anatuhimiza kumtafuta Mungu, kuwahudumia wengine, na kushiriki na wengine uzoefu wetu. Walter F. GonzálezMguso wa MwokoziMzee González anatufundisha kwamba Mwokozi anataka kutuponya na kwamba kama tutakuja Kwake na kutafuta mapenzi Yake, Yeye aidha atatuponya au kutupatia nguvu ya kuvumilia. Gary E. StevensonUsinidanganyeMzee Stevenson anatuonya kuhusu ujanja na udanganyifu wa adui na anatualika kusimama imara na kufuata amri za Bwana. Russell M. NelsonAmri Kuu ya PiliRais Nelson anatoa mifano ya jinsi gani Kanisa na waumini wake wanavyotimiza amri kuu ya pili ya Bwana ya kuwapenda jirani zetu kupitia juhudi za kibinadamu. Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili Mchana Henry B. EyringUtakatifu na Mpango wa FurahaRais Eyring anafundisha kwamba furaha kuu huja kupitia utakatifu mkuu binafsi, uliopatikana kwa imani katika Yesu Kristo, toba, na kukabiliana na dhiki. Hans T. BoomKujua, Kupenda, na KukuaMzee Boom anatufundisha kwamba kila mmoja wetu anaweza kukua katika jukumu letu kwenye kazi ya Mungu kwa kujua sisi ni kina nani na kisha kuhudumia wengine kwa upendo kama wa Kristo. M. Russell BallardKuzipa Roho Zetu Udhibiti wa Miili YetuRais Ballard anafundisha kwamba kuishi vyema kunahusisha kumshinda mwanadamu wa tabia ya asili na kuweka kipaumbele kwenye asili yetu ya kiroho. Petter M. JohnsonNguvu ya Kumshinda AduiMzee Johnson anafundisha kwamba tunaweza kushinda udanganyifu wa Shetani, uvurugaji wa mawazo, na kukatishwa tamaa kupitia kuomba, kujifunza Kitabu cha Mormoni, na kupokeasakramenti. Ulisses SoaresKujitwika Msalaba WetuMzee Soares anatualika kuchukua msalaba wetu kwa kufuata mfano mkamilifu wa Mwokozi na kwa kufuata mafundisho na amri zake. Neil L. AndersenTundaMzee Andersen anafundisha kwamba tunapofokasi kwa Yesu Kristo na kwa uaminifu kuvumilia upinzani, tunda la mti wa uzima (baraka za Upatanisho) zinaweza kuwa zetu. Russell M. NelsonManeno ya KutamatishaRais Nelson anahimiza waumini kuwa zaidi watakatifu, kujiandaa kwa ajili ya mkutano mkuu ujao, na kujifunza Kitabu cha Mormoni.