“Marafiki kwa Barua,” Rafiki, Mei 2024, 1.
Marafiki kwa Barua
Mahali Tunaposoma Rafiki
PichaMvulana na msichana wakishikilia nakala za gazeti la RafikiPia na Daniel O., wote umri miaka 10, wanasoma Rafiki kwa Kiingereza huko Jimbo la Nairobi, Kenya.
Burudani ya Kukunja!
PichaMvulana anashikilia origamiNinapenda kufanya shughuli kila mwezi. Nilikuwa na furaha kutengeneza mbweha wa origami na alamisho (Mei 2023)!
Ethan B., umri miaka 8, Nebraska, Marekani
Tunapenda Kuliona Hekalu
PichaMvulana na msichana mbele ya hekaluGiorgia na Noah V., umri miaka 9 na 6, walitembelea Hekalu la Melbourne Australia.
Tunapenda kusikia kutoka kwa marafiki zetu!