Rafiki
Sehemu ya Marafiki Wadogo
Mei 2024


“Sehemu ya Marafiki Wadogo,” Rafiki, Mei. 2024, 43.

Sehemu ya Marafiki Wadogo

Picha
Mvulana anatabasamu

Ninaitumikia familia yangu kwa kukausha vyombo

Patrick M., umri miaka 3, Virginia, Marekani

Picha
Msichana anatabasamu

Ninapenda kumfuata Yesu kwa kuimba nyimbo za Msingi!

Nicci M., miaka 3, Jimbo la Mombasa, Kenya

“Ninajaribu kuwa kama Yesu;

Ninafuata njia Zake.”

Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 78

Picha
PDF ya hadithi

Chapisha