Mei 2024 Marafiki WapendwaSomeni ujumbe kuhusu mkutano mkuu. Marafiki kwa BaruaSoma baadhi ya barua kutoka kwa rafiki zetu kote ulimwenguni! Mkutano Mkuu Ni Kwa Ajili Yako! Russell M. NelsonNguvu ya HekaluSoma ujumbe wa mkutano kuhusu mahekalu kutoka kwa Rais Russell M. Nelson. Habari za Mkutano MkuuJifunze habari muhimu kutoka kwenye mkutano mkuu! Mihutasari ya Mkutano MkuuSoma baadhi ya hadithi kutoka kwenye mkutano mkuu na andika chini kitu ulichojifunza. Kutana na Mzee Patrick KearonUtambulisho wa Mzee Patrick Kearon Jewelene CarterAhadi ya UbatizoKeaton anaahidi kuwapenda wengine na kushika amri anapobatizwa. Kumfuata Yesu huko VanuatuKutana na Emma kutoka Vanuatu na ujifunze jinsi anavyomfuata Yesu. Salamu kutoka Vanuatu!Fanya ziara ili ujifunze kuhusu Vanuatu! Olivia KittermanUrafiki wa ChesiMatvii anahamia Ujerumani na wengine wanamsaidia kuhisi amekaribishwa. Noti na VituoShughuli ya muziki ulioandikwa ya kuwafundisha watoto kuhusu noti na vituo vya muziki. Mabel Jones Gabbott na Crawford GatesUbatizoKaratasi ya muziki uliorahisishwa ya wimbo wa “Ubatizo.” Dawn NelsonMsafi tenaMsichana anajifunza kuhusu toba na anajaribu tena baada ya kubatizwa. Quentin L. CookNi kwa Jinsi Gani Tunaweza Kuwasaidia Wengine?Soma ujumbe kutoka kwa Mzee Quentin L. Cook kuhusu jinsi tunavyoweza kuwasaidia wengine. Kusaidia NyumbaniUkurasa wa kupaka rangi kwa ajili ya watoto Ibada na Maagano Ni Nini?Kadi za kila mwezi kuhusu mahekalu ulimwenguni kote na kweli kuhusu mahekalu. Njoo, Unifuate Abinadi Anafundisha InjiliShughuli ya picha iliyofichwa ya mandhari ya Kitabu cha Mormoni. Mfalme Benyamini ni Nani?Mfalme Benyamini alikuwa nabii Mnefi ambaye aliwafundisha watu wake kumfuata Yesu. Watu wa Alma Wanasali Mioyoni MwaoSoma hadithi kuhusu watu wa Alma wakisali na kupokea msaada kutoka kwa Baba wa Mbinguni. Shughuli za Njoo, UnifuateTumia shughuli hizi ili kujifunza Njoo, Unifuate pamoja na familia yako. Norman HillMuda wa Hadithi za MaandikoMvulana aliyeitwa Nyameye alishiriki hadithi kutoka kwenye Kitabu cha Hadithi cha Kitabu cha Mormoni pamoja na wanadarasa. Carolina MaldonadoKushiriki Upendo wa MunguThais alimfariji msichana ambaye alikuwa analia na kumkumbusha kwamba yeye ni mtoto wa Mungu. Margo na PaoloMargo anatubu baada ya kutokuwa mwema kwa rafiki. Sehemu ya Watoto Wakubwa Sehemu ya Watoto WakubwaUkurasa wa utangulizi kwa ajili ya sehemu ya Watoto Wakubwa, ulio na chemsha bongo na nukuu kuhusu Kitabu cha Mormoni. Alelie Coronel-CamitanUkarimu Wakati wa Mlo wa MchanaMvulana anachagua kuwa mkakamavu kwa ajili ya mwanadarasa ambaye anaonewa. Nini kipo Akilini Mwako?Soma jinsi unavyoweza kumtambua vyema Roho Mtakatifu. Warner B.Kumsikiliza Roho MtakatifuWarner anatambua kwamba amekuwa akimhisi Roho Mtakatifu siku zote. Mazungumzo na Isabela kuhusu MaaganoIsabela kutoka Costa Rica anashiriki kile inachomaanisha kwake kushika maagano yake ya ubatizo. Nitakapokuwa MkubwaShughuli kwa ajili watoto ili kufikiria kuhusu kile wanachotaka kuwa watakapokuwa wakubwa na jinsi wanavyoweza kuwasaidia wengine. Sehemu ya Marafiki Wadogo Sehemu ya Marafiki WadogoKutana na baadhi ya marafiki wadogo kutoka ulimwenguni kote. Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kupokea SakramentiHadithi na shughuli kwa ajili ya watoto wadogo kuhusu kupokea sakramenti. Ubatizo na Uthibitisho Ni Nini?Maelezo rahisi kwa ajili ya watoto wadogo kuhusu ubatizo na uthibitisho. Ninaweza Kufikiria kuhusu YesuUkurasa wa kupaka rangi wenye ujumbe “Ninaweza Kufikiria kuhusu Yesu.” Yesu Kristo Anabariki SakramentiSanaa nzuri ya Yesu Kristo akibariki sakramenti wakati aliwatembelea Wanefi. Wapendwa WazaziSomeni ujumbe kwa ajili ya wazazi kuhusu sakramenti.