Rafiki
Ubatizo
Mei 2024


“Ubatizo,” Rafiki, Mei 2024, 17.

Ninaweza Kuucheza!

Ubatizo

Picha
PDF ya Muziki

1. Yesu alikuja kwa Yohana Mbatizaji,

Katika Judea kitambo,

Na alibatizwa kwa kuzamishwa

Katika mtiririko wa Mto Yordani.

2. Kutimiza sheria,” Yesu alisema,

Yohana Mbatizaji alipouliza kwa nini,

“Kuingia pamoja na Baba yangu

Katika ufalme huko juu.”

3. Sasa tunajua kwamba sharti pia sisi

Tushuhudie imani katika neno la Yesu,

Tubatizwe kuonesha utiifu,

Kama Yesu Kristo, Bwana wetu.

Chapisha