Rafiki
Margo na Paolo
Mei 2024


“Margo na Paolo,” Rafiki, Mei 2024, 34.

Margo na Paolo

Picha
Margo kwa huzuni anacheza na kaka yake mdogo

Mamãe? Nilisema kitu kibaya kwa rafiki yangu. Sasa ninahisi vibaya.

Picha
Margo alitabasamu na kuegemea kiwiko kimoja.

Subiri, ninajua! Naweza tu kubatizwa tena! Kisha nitakuwa msafi kabisa.

Picha
Mamãe na Margo wakizungumza

Hauhitaji kufanya hivyo. Unaweza kutubu sasa hivi na ukasamehewa. Na unapopokea sakramenti, unaweza kuahidi kufanya vyema!

“Je, tunaweza kusali pamoja? Ninataka kumwambia Baba wa Mbinguni mimi najuta. Na nitamwambia rafiki yangu pole kesho.

Picha
Mamãe anatabasamu

Bila shaka.

Picha
Margo anasali pamoja na Mamãe

Jumapili hiyo …

Picha
Margo akipokea sakramenti

Nitajaribu sana wiki kuwa mwema! Ninajua Baba wa Mbinguni atanisaidia.

Picha
PDF ya hadithi

Vielelezo na Katie McDee

Chapisha