Rafiki
Noti na Vituo
Mei 2024


“Noti na Vituo,” Rafiki, Mei 2024, 14.

Kitu cha kuburudisha

Noti na Vituo

Picha
PDF ya Shughuli

Noti za muziki zinatuambia wakati wa kuimba. Pia kuna ishara katika muziki zinazoitwa vituo. Vituo vinatuambia wakati hatufai kuimba. Noti na vituo vya muziki vyote vina hesabu za kuonesha urefu wake.

Tumia noti na vituo hapo chini kuchora mistari kutoka kwa nukta hadi nukta! Chora mstari uliopinda kwa ajili ya noti na mstari bapa kwa ajili ya vituo. Ukubwa wa mstari uliopinda unawiana na idadi ya noti zote. Moja imefanywa kukuonesha jinsi ya kukamilisha hilo.

  • Hesabu 1

  • Hesabu 2

  • Hesabu 1

  • Hesabu 2

  • Hesabu 4

Chapisha