Rafiki
Habari za Mkutano
Mei 2024


“Habari za Mkutano,” Rafiki, Nov. 2023, 4

Habari za Mkutano

Nukuu za Mkutano

Kutazama Mkutano ulimwenguni kote

Picha
Msichana anayetabasamu

Mkutano ni maalumu kwangu kwa sababu natumia muda kuwa pamoja na familia yangu. Tunawasikiliza wazungumzaji na kutengeneza sanaa.

Lucy A., miaka 10, Al-Ahmadi, Kuwait

Picha
Mvulana anayetabasamu

Nilipenda mahubiri ya Mzee De Feo. Alisema tunaweza kumuona Yesu kwa macho yetu ya kiroho kama tutatunza imani zetu. Kisha tutahisi amani na kuwa na Roho Wake pamoja nasi.

Thomas M., miaka 7, Catalonia, Hispania

Picha
Msichana anayetabasamu

Familia yangu husali kwa Baba wa Mbinguni ili atusaidie tujiandae kwa ajili ya mkutano na kufundishwa na Roho. Tunavaa nguo zetu nzuri za Jumapili. Tunaangalia mkutano pamoja na kuimba nyimbo zote zinazoimbwa na mkutano.

Harriet O., miaka 9, Lagos State, Nigeria

Mahekalu Mapya

Picha
Russell M. Nelson

Rais Nelson alitangaza mahekalu mapya 15 wakati wa mkutano mkuu! Unganisha nukta hizi15 ili kukamilisha picha.

  1. Uturoa, Polynesia ya Ufaransa

  2. Chihuahua, Mexico

  3. Florianópolis, Brazil

  4. Rosario, Argentina

  5. Edinburgh, Scotland

  6. Brisbane, Australia eneo la kusini

  7. Victoria, British Columbia

  8. Yuma, Arizona

  9. Houston, Texas eneo la kusini

  10. Des Moines, Iowa

  11. Cincinnati, Ohio

  12. Honolulu, Hawaii

  13. West Jordan, Utah

  14. Lehi Utah

  15. Maracaibo, Venezuela

Sasa na Hapo Baadae

Ona jinsi ambavyo Kanisa limekuwa tangu Rais Oaks alipozaliwa!

1932

  • Mahekalu7

  • Waumini wa Kanisa700,000

2024

  • Mahekalu yaliyowekwa wakfu189

  • Mahekalu yaliyopo katika mpango na ujenzi-146

  • Waumini wa Kanisa17,000,000 katika mataifa 170

Picha
PDF yenye hadithi

Chapisha