Rafiki
Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kupokea Sakramenti
Mei 2024


“Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kupokea Sakramenti,” Rafiki, Mei. 2024, 44–45.

Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kupokea Sakramenti

Picha
Mkono ukitwaa mkate kutoka trei ya sakramenti

Ninapoenda kanisani, ninaweza kupokea sakramenti.

Picha
Mvulana aliyefumba macho yake

Yesu alitupatia sakramenti kwa sababu Yeye anatupenda.

Picha
Mikono Iliyokunjwa

Ninaweza kuketi kwa staha ninapokula mkate na kunywa maji.

Picha
Mvulana mwenye mwonekano wa amani

Sakramenti hunisaidia kumkumbuka Yesu!

Wakati wa Shughuli

Yesu Kristo alitufundisha jinsi ya kuwa na sakramenti. Tunafuata utaratibu huo huo kila wiki. Onesha kile kinachoanza kwanza! Nini kinakuja baada ya hapo?

Picha
PDF ya hadithi

Kielelezo na Jess Smart Smiley

Chapisha