Mkutano mkuu wa Aprili 2020 Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Russell M. NelsonUjumbe wa UtanguliziRais Nelson anafundisha kwamba wakati tunapojaribu kuwa zaidi kama Mwokozi wetu, tunaweza kuwa na amani na furaha hata kwenye nyakati za changamoto. M. Russell BallardJe, Hatuna Budi Kuendelea Katika Kazi Hii Iliyo Kuu?Rais Ballard anaelezea uaminifu wa dhabihu ya Joseph Smith na kaka yake Hyrum. James R. RasbandKuhakikisha Hukumu ya HakiMzee Rasband anafundisha jinsi Upatanisho wa Kristo unavyotimiza yote haki na rehema. Joy D. JonesWito Uliotukuka ZaidiDada Jones anarejelea mfano na mafundisho ya Joseph Smith kuhamasisha wanawake katika kujitahidi kutimiza uwezekano wao mkubwa wa kiroho. Neil L. AndersenKumbukumbu za Kuelezeka KirohoMzee Andersen anafundisha kwamba kukumbuka nyakati za kuelezeka kiroho katika maisha yetu kunaweza kutuimarisha na kutufariji nyakati za changamoto. Douglas D. HolmesNdani ya Kina cha Mioyo YetuKaka Holmes anatufundisha kufokasi kwenye mahusiano, ufunuo, haki ya kujiamulia, toba, na dhabihu ili injili iweze kuzama ndani ya kina cha mioyo yetu. Henry B. EyringSala za ImaniRais Eyring anafundisha jinsi kusali kwa imani kunavyoweza kutusaidia kila mmoja wetu kugundua jukumu letu maalum katika Urejesho unaoendelea. Kikao cha Jumamosi Alasiri Kikao cha Jumamosi Alasiri Dallin H. OaksKuidhinisha Viongozi Wakuu wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo, na Maafisa WakuuRais Oaks anawasilisha viongozi wa Kanisa kwa ajili ya kura ya kuwaidhinisha. Kevin R. JergensenRipoti ya Idara ya Ukaguzi ya Kanisa, 2019Kaka Jergensen anawasilisha ripoti ya Idara ya Ukaguzi ya Kanisa kwa mwaka 2019. Ulisses SoaresUjio wa Kitabu cha MormoniMzee Soares anaelezea miujiza mingi iliyohusika katika ujio wa Kitabu cha Mormoni, ikiwa ni pamoja na miujiza ambayo inaweza kutendeka katika maisha yetu kwa sababu ya kumbukumbu hii takatifu. John A. McCuneNjoo kwa Kristo—Kuishi kama Mtakatifu wa Siku za MwishoMzee McCune anatufundisha jinsi injili ya urejesho ya Yesu Kristo inavyotusaidia sisi kufanya mambo magumu na kuwasaidia wengine kufanya vivyo hivyo. Gérald CausséUshuhuda Hai juu ya Kristo Aliye HaiAskofu Caussé anafundisha kwamba Kitabu cha Mormoni kinarejesha ufahamu sahihi wa Yesu Kristo na Upatanisho Wake. Dale G. RenlundTafakari Wema na Ukuu wa MunguMzee Renlund anatualika kukumbuka wema na ukuu wa Baba wa Mbinguni na Yesu Kristo na kuainisha baraka mbalimbali za kufanya hivyo. Benjamin M. Z. TaiNguvu ya Kitabu cha Mormoni katika UongofuMzee Tai anafundisha kwamba Kitabu cha Mormoni kina mafundisho ya Kristo na kinatusaidia kumkaribia zaidi Mungu. Gary E. StevensonMsingi Mzuri kwa Wakati UjaoMzee Stevenson anafundisha jinsi maboresho kwenye Hekalu la Salt Lake yanavyoweza kusaidia kutupa mwongozo wa kiungu wa kujenga misingi imara binafsi. Kikao cha Jumamosi Alasiri Kikao cha Jumamosi Alasiri Gerrit W. GongHosana na Haleluya—Yesu Kristo Aliye Hai: Kiini cha Urejesho na PasakaMzee Gong anafundisha jinsi Yesu Kristo alivyo kiini cha Pasaka na urejesho wa siku za mwisho. Laudy Ruth Kaouk AlvarezJinsi Ukuhani Unavyobariki VijanaDada Kaouk anafundisha jinsi vijana wanavyoweza kubarikiwa kwa ukuhani. Enzo Serge PeteloJinsi Ukuhani Unavyobariki VijanaKaka Petelo anatufundisha jinsi huduma ya ukuhani inavyoweza kubariki wavulana. Jean B. BinghamKuungana katika Kufanikisha Kazi ya MunguDada Bingham anafundisha jinsi ambavyo, kufuata mfano wa Adam na Eva, wanaume na wanawake wanaweza kufanya kazi pamoja kuthamini tofauti za kiasili za kila mmoja na majukumu matakatifu. Henry B. EyringYeye Huenda Mbele YetuRais Eyring anafundisha kwamba Bwana anaujua wakati ujao na anatuongoza, hatua kwa hatua, ili kukamilisha malengo yake katika siku za mwisho. Dallin H. OaksUkuhani wa Melkizedeki na FunguoRais Oaks anafundisha kuhusu matumizi ya Ukuhani katika Kanisa na nyumbani. Russell M. NelsonKufungua Mbingu kwa Ajili ya MsaadaRais Nelson anatambulisha alama mpya ya kuonekana kwa Kanisa na kuwaalika wote kuungana kwenye kufunga na sala. Kikao cha Jumapili Asubuhi Kikao cha Jumapili Asubuhi Ronald A. RasbandKutimizwa kwa UnabiiMzee Rasband anafundisha kuhusu unabii ambao umetimia katika kipindi cha Urejesho unaoendelea wa Kanisa. Bonnie H. CordonIli wapate kuonaDada Cordon anatualika kufuata mfano wa Yesu Kristo na kama matokeo kuwa nuru na mfano kwa wale wanaotuzunguka. Jeffrey R. HollandMng’aro Mkamilifu wa TumainiMzee Holland anafundisha kwamba Urejesho wa injili unaonesha kwamba tunaweza kuwa na tumaini kwa sababu Mungu yu nasi. David A. Bednar“Acheni Nyumba Hii Na Ijengwe Kwa Jina Langu”Mzee Bednar anafundisha kwamba ibada na maagano ya hekaluni hubadili mioyo yetu na kubariki familia zetu kwenye pande zote za pazia. Russell M. NelsonMsikilize YeyeRais Nelson anafundisha jinsi tunavyoweza kumsikiliza Bwana, na anatoa tangazo jipya: “Urejesho wa Utimilifu wa Injili ya Yesu Kristo: Tangazo la Miaka Mia Mbili kwa Ulimwengu.” Russell M. NelsonShangwe za HosanaRais Nelson anaongoza washiriki katika shangwe takatifu za Hosana Katika adhimisho la kumbukumbu ya Ono la Kwanza la Baba na Mwana. Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili Mchana Dallin H. OaksMpango MkuuRais Oaks anafundisha vipengele vya msingi vya mpango wa Baba wa Mbinguni, ikiwa ni pamoja na mahakikisho manne unayotoa ili kutusaidia kupita maisha ya duniani. Quentin L. CookBaraka za Ufunuo Unaoendelea kwa Manabii na Ufunuo Binafsi ili Kuongoza Maisha YetuMzee Cook anafundisha kwamba manabii wanaendelea kupokea ufunuo ili kuongoza Kanisa na kwamba sisi tunaweza kupokea ufunuo ili kuongoza maisha yetu. Ricardo P. GiménezKupata Kimbilio kutoka kwenye Dhoruba za MaishaMzee Giménez anafundisha kwamba Yesu Kristo anaweza kuwa kimbilio kutoka kwenye majaribu na dhoruba katika maisha yetu ikiwa tutamruhusu. Dieter F. UchtdorfNjoo na Ustahili KuwaMzee Uchtdort anawaalika wote kuungana nasi katika kuhudumia watoto wa Mungu, kufuata nyayo za Mwokozi, na kufanya ulimwengu huu kuwa mahali pazuri sana L. Whitney ClaytonNyumba za KupendezaMzee Clayton anafundisha kwamba tunakuwa katika ubora wetu pale tunapojitahidi kuishi injili ya urejesho ya Yesu Kristo. D. Todd ChristoffersonKushiriki Ujumbe wa Urejesho na UfufukoMzee Christofferson anafundisha kuhusu umuhimu wa kushiriki ujumbe wa Urejesho na anatoa mambo matatu katika kufanya hilo kwa mafanikio. Russell M. NelsonSonga Mbele kwa ImaniRais Nelson anafundisha kwamba tutaimarishwa wakati tunapokuwa wafuasi hodari wa Yesu Kristo na wakati tunapoheshimu maagano yetu. Anatangaza mahekalu mapya.