Mkutano mkuu wa Aprili 2023 Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Gary E. StevensonHadithi Kuu ya Pasaka Iliyowahi KusimuliwaMzee Stevenson anashuhudia kuhusu ushahidi wa nguvu wa Yesu Kristo katika Kitabu cha Mormoni na kupendekeza kiwe sehemu ya kusherehekea kwetu Pasaka. Bonnie H. CordonBonnie, Usiache Kamwe Nafasi ya Kushuhudia Juu ya KristoRais Cordon anatufundisha kusonga karibu na Kristo, kupokea ushahidi juu Yake, kukuza tabia takatifu na kumshuhudia Yeye. Ndipo tutakuwa zaidi kama Yeye. Carl B. CookEndelea Kusonga—kwa ImaniMzee Cook anatufundisha kwamba tunaweza kushinda kukatishwa tamaa na kupokea baraka kubwa kama tutaendelea kusonga mbele—kwa Imani katika Yesu Kristo. Gerrit W. GongUhudumiajiMzee Gong anafundisha kwamba uhudumiaji katika njia ya Mwokozi utatusaidia tusonge karibu na kuwa zaidi kama Yesu Kristo. Quentin L. CookKwa Usalama Wamekusanyika NyumbaniMzee Cook anafundisha kwamba Bwana anawategemea wale ambao wamepokea injili yake kwa haraka wajitahidi kuwa mfano ambao utawasaidia wengine waje kwa Mungu. Allen D. HaynieNabii Aliye Hai kwa ajili ya Siku za MwishoMzee Haynie anafundisha umuhimu wa kufuata kwa uharaka ushauri wa nabii aliye hai. Henry B. EyringKutafuta Amani BinafsiRais Eyring anafundisha kwamba tunapopitia zawadi ya Mwokozi ya amani ya kibinafsi, tunaweza kuwasaidia wengine kuitafuta, na wao, katika zamu yao, wanaweza kuwasaidia wengine. Kikao cha Jumamosi Mchana Kikao cha Jumamosi Mchana Dallin H. OaksKuwakubali Viongozi Wakuu wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo, na Maafisa WakuuRais Oaks anawasilisha Viongozi Wakuu Wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo na Maafisa Wakuu kwa ajili ya kura ya kuwakubali. Jared B. LarsonRipoti ya Idara ya Ukaguzi wa Hesabu za Kanisa, 2022Jared B. Larson anawasilisha Ripoti ya Idara ya Ukaguzi wa Hesabu za Kanisa kwa mwaka 2022. Dale G. RenlundKufikia Nguvu za Mungu kupitia MaaganoMzee Renlund anafundisha kwamba tunapokuja kwa Kristo na kuunganishwa Kwake na kwa Baba yetu wa Mbinguni kwa agano, tunaweza kubadilishwa na kukamilishwa katika Yesu Kristo. Peter F. MeursAngeweza Kuniponya Mimi!Mzee Meurs anafundisha jinsi ambavyo Yesu Kristo hutukomboa kutokana na dhambi zetu na kutuponya kutokana na mateso yetu. Randall K. BennettBaraka Yako ya Patriaki—Mwongozo wenye Uvuvio kutoka kwa Baba wa MbinguniMzee Bennett anafundisha kwamba baraka za patriaki hutoa mwongozo wenye uvuvio kutoka kwa Baba wa Mbinguni. Craig C. Christensen“Hapawezi Kuwa na Kitu Kizuri Hivyo na Kitamu vile Ilivyokuwa Shangwe Yangu”Mzee Christensen anafundisha kwamba tunaweza kupokea shangwe ya dhati kupitia toba na imani katika Yesu Kristo. Evan A. SchmutzKutumainia Mafundisho ya KristoMzee Schmutz anafundisha kuhusu baraka ambazo huja tunapotumaini katika mafundisho ya Kristo. Benjamín De HoyosKazi ya Hekalu na Historia ya Familia—Kazi Moja na SawaMzee De Hoyos anafundisha kwamba historia ya familia na kazi ya hekaluni ni vya msingi kwa mpango wa Baba wa Mbinguni kwa watoto Wake. Dieter F. UchtdorfYesu Kristo Ni Nguvu kwa WazaziMzee Uchtdorf anafundisha jinsi ambavyo Yesu Kristo huwasaidia wazazi kutimiza wajibu wao mtakatifu wa kuwafundisha na kuwatunza watoto wao. Kikao cha Jumamosi Jioni Kikao cha Jumamosi Jioni Mark A. BraggUtulivu kama wa KristoMzee Bragg anatushauri tukuze utulivu kama wa Kristo ili utusaidie katika nyakati zenye changamoto na tuwasaidie wengine vyema kupita changamoto zao vilevile. Milton CamargoFokasi kwa Yesu KristoKaka Camargo anatukumbusha juu ya baraka za kutengeneza nyumba ambayo imejikita kwenye injili na kufundisha kwamba Kristo hutusaidia kushinda matatizo kama kifo, dhambi na udhaifu. K. Brett NattressJe, Ni Kweli Nimesamehewa?Mzee Nattress anafundisha kwamba msamaha upo kwa ajili ya wote kupitia Upatanisho wa Yesu Kristo usio na mwisho. Juan A. UcedaBwana Yesu Kristo Anatufundisha KuhudumuMzee Uceda anafundisha kwamba Yesu Kristo ni Mchungaji Mwema na kwamba tunaweza kumfuata Yeye na mafundisho Yake tunapotumikiana wenyewe kwa upendo. Kikao cha Jumapili Asubuhi Kikao cha Jumapili Asubuhi D. Todd ChristoffersonWamoja katika KristoMzee Christofferson anafafanua jinsi tunavyoweza kufikia umoja licha ya tofauti zetu—kwa sisi binafsi kuja kwa Yesu Kristo. Camille N. JohnsonYesu Kristo Ni FarajaRais Johnson anafundisha kwamba tunaweza kushirikiana na Mwokozi ili kutoa faraja ya kimwili na kiroho kwa wale walio na mahitaji. Ulisses SoaresWafuasi wa Mfalme wa AmaniMzee Soares anafundisha kuhusu sifa kama za Kristo ambazo zitatusaidia tukuze amani na kuwa wafuasi wa kweli wa Yesu Kristo. Kazuhiko YamashitaWakati Sahihi wa Kupokea Baraka Yako ya PatriakiMzee Yamashita anawahimiza waumini kupokea na kusoma baraka zao za patriaki, ambazo hujumuisha ushauri binafsi kutoka kwa Bwana. Neil L. AndersenAkili Yangu Ilifikiria Wazo Hili juu ya Yesu KristoMzee Andersen anafundisha jinsi tunavyoweza kupokea mwongozo wa kiungu na nguvu za kiungu pale tunapofikiria juu ya Yesu Kristo na dhabihu Yake ya upatanisho. Kevin R. DuncanSauti ya Furaha!Mzee Duncan anafundisha kwamba kutii maagano yetu ya hekaluni kutaimarisha shuhuda zetu na kutusaidia tufikie nguvu ya uponyaji ya Mwokozi. Russell M. NelsonWapatanishi WanahitajikaRais Nelson anatualika kujichunguza mioyoni mwetu na kuweka kando kitu chochote kinachotuzuia sisi kuwa wapatanishi, wajibu wa wafuasi wa kweli wa Yesu Kristo—hasa tukiwa kwenye changamoto. Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili Mchana Dallin H. OaksMafundisho ya Yesu KristoRais Oaks anashiriki maandiko ambayo yanarekodi maneno ya Yesu Kristo. M. Russell BallardKumbuka Kile Kilicho Muhimu ZaidiRais Ballard anafundisha kuhusu vitu ambavyo vina umuhimu zaidi, ikijumuisha mahusiano yetu, misukumo yetu ya kiroho na shuhuda zetu. Ronald A. RasbandHosana kwa Mungu Aliye Juu SanaMzee Rasband anafundisha kwamba kuingia kwa Yesu Kristo kwa shangwe huko Yerusalemu na yale matukio ya wiki ambayo yalifuatia yanaonesha kwa mfano fundisho tunaloweza kutumia katika maisha yetu leo. Vern P. StanfillMavuno HafifuMzee Stanfill anafundisha tofauti kati ya utafutaji wa ukamilifu wa kiulimwengu na kuwa mkamilifu katika Kristo. W. Mark BassettBaada ya Siku ya NneMzee Bassett anafundisha kwamba tunapotii amri na kufanya yote tuwezayo, Yesu Kristo atatenda miujiza katika maisha yetu. Ahmad S. CorbittUnajua Kwa Nini Mimi Kama Mkristo Ninaamini katika Kristo?Mzee Corbitt anafundisha kuhusu mpango wa wokovu, mafundisho ya Kristo, na umuhimu wa kushiriki kweli hizi na wengine. David A. Bednar“Kaa Ndani Yangu, Nami Ndani Yako; Kwa Hiyo, Tembea Pamoja Nami”Mzee Bednar anafundisha kwamba tunapokaa ndani ya Mwokozi, Yeye atakaa ndani yetu na tutabarikiwa. Russell M. NelsonJibu Daima ni Yesu KristoRais Nelson anashuhudia juu ya Yesu Kristo na anatangaza maeneo ya mahekalu mapya.