2023
Lengo Tamu
Machi 2023


“Lengo Tamu,” Rafiki, Machi. 2023, 42.

Kitu cha kuburudisha

Lengo Tamu

Picha
PDF ya Shughuli

Vielelezo na Emily Jones

Sara alitaka kufuata Neno la Hekima vizuri zaidi (ona Mafundisho na Maagano 89). Alitengeneza lengo kwa ajili ya Watoto na Vijana kula zaidi matunda na mboga za majani. Je, unaweza kutafuta mistari miwili iliyo na vyakula vya aina moja lakini katika utaratibu tofauti.

Chapisha