2023
Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa Mkarimu
Machi 2023


“Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa Mkarimu,” Rafiki, Machi. 2023, 44–45.

Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa Mkarimu

Picha
Wavulana wawili wakigonga mikono

Naweza Kuwa Mkarimu kwa wengine.

Picha
Msichana mdogo akimwagilia maji mimea kwenye bustani pamoja na mama

Ninaweza kuwa mwenye msaada.

Picha
Msichana akishiriki kipande cha mbao na msichana mwingine

Ninaweza kuwa rafiki mzuri.

Picha
Mvulana akishiriki barafu pamoja na mvulana mwingine

Ninaweza kumsaidia mtu kuhisi vizuri zaidi.

Wakati wa Shughuli

Picha
Ukurasa wa shughuli ya mzingile

Vielelezo na Alyssa Tallent

Rafiki wa Marco ana huzuni, hivyo Marko anaenda kumtembelea. Msaidie Marco kupata njia yake!

Chapisha