2023
Mzingile wa Muujiza
Machi 2023


“Mzingile wa Muujiza,” Rafiki, Machi. 2023, 21.

Kitu cha kuburudisha

Mzingile wa Muujiza

Picha
mzingile kupitia matukio ya Agano Jipya

Kielelezo na Brian Weaver

Yesu Kristo alifanya miujiza mingi. Jibu maswali ili kupita kwenye mzingile huu.

  1. Yesu aliweka nini kwenye macho ya kipofu ili kumponya. (Ona Yohana 9:1–11.)

    • Tope.

    • Barafu.

  2. Je, ni miaka mingapi yule mwanamke alikuwa akiugua kabla hajagusa vazi la Yesu? (Ona Luka 8:43–48.)

    • 12

    • 42

  3. Je, Yesu aliwalisha nini wale watu 5000? (Ona Marko 6:41–44.)

    • Mkate na samaki.

    • Asali na nyama.

  4. Je, Yesu alimwambia Petro angepata nini katika kinywa cha samaki? (Ona Mathayo 17:24–27.)

    1. Lulu.

    2. Sarafu.

  5. Je, Yesu aliwaambia wale watu wenye ukoma kufanya nini kabla hawajaponywa? (Ona Mathayo 17:12–19.)

    • Waende kwa makuhani.

    • Waende kuoga.

  6. Je, ni mwanafamilia gani wa Martha ambaye Yesu alimfufua kutoka kwa wafu? (Ona Yohana 11:38–44.)

    • Dada yake, Mariamu.

    • Kaka yake, Lazaro.

Chapisha