2023
Maagano ya Ubatizo
Machi 2023


“Maagano ya Ubatizo,” Rafiki, Machi. 2023, 9.

Njia Yangu ya Agano

Maagano ya Ubatizo

Unapomfuata Yesu, utapata baraka za kuvutia katika njia yako yote!

Picha
mwanaume akimbatiza msichana

Kielelezo na Bryan Beach

Unapobatizwa, unafanya agano, au ahadi, na Baba wa Mbinguni. Hapa ni baadhi ya ahadi hizo:

Baadhi ya baraka ambazo Baba wa Mbinguni anaahidi kwetu zinajumuisha:

Kutimiza ahadi

Wakati ambapo nilimsaidia mtu …

Wakati nilipofuata mfano wa Yesu …

Wakati nilipochagua lililo sahihi …

Chapisha