2023
Je, Malengo Yako ni Yapi na Ndoto Zako ni Zipi?
Machi 2023


Je, Malengo Yako ni Yapi na Ndoto Zako ni Zipi? Rafiki, Machi. 2023, 38.

Je, Malengo Yako ni Yapi na Ndoto zako ni Zipi?

Hiki ndicho baadhi ya watoto walikisema!

Picha
Layna H.

Kuwa mwana paleontolojia (kujifunza kuhusu dinosau)

Layna H., umri miaka 10, Idaho, Marekani

Picha
Nathan Y.

Kuwa bingwa wa elimu ya wadudu (kujifunza kuhusu wadudu)

Nathan Y., umri miaka 10, West Midlands, Uingereza

Picha
Emma R.

Kumiliki mgahawa

Emma R., umri miaka 9, Alberta, Kanada

Picha
Etevise T.

Kufanya ubatizo hekaluni nifikapo umri wa miaka 12

Etevise T. Umri miaka 9, Queensland, Australia

Picha
Simon P.

Kuwa mwandishi

Simon P., umri miaka 10, Hesse, Ujerumani

Picha
Truman B.

Kuwa seremala

Truman B., umri miaka 9, Cairo, Misri

Picha
Natalie S.

Kuwa msanii

Natalie S., umri miaka 8, Florida, Marekani

Picha
Jacob C.

Kuwa mcheza soka wa timu ya taifa

Jacob C., umri miaka 9, Washington, Marekani

Chapisha