2023
Kitabu cha Kumbukumbu ya Ubatizo
Machi 2023


“Kitabu cha Kumbukumbu ya Ubatizo,” Rafiki, Machi. 2023, 15.

Kitabu cha Kumbukumbu yaUbatizo

Picha
shughuli ya kutengeneza kitabu

Vielelezo na Nicole Walkenhorst

Tengeneza kitabu cha kukusaidia wewe kukumbuka ubatizo wako. Kama hujabatizwa bado, tengeneza kitabu kuhusu jinsi itakavyokuwa wakati unabatizwa.

  1. Kata vipande viwili vya karatasi katikati. Ongeza vipande zaidi vya karatasi kama unataka kitabu kirefu zaidi.

  2. Weka pamoja karatasi hizo na zikunje katikati.

  3. Toboa matundu matatu kwenye huo mkunjo wa karatasi.

  4. Funga kipande cha uzi kupitia kila tundu.

Chapisha