2023
Mimi Ni wa Kustaajabisha
Machi 2023


“Mimi ni wa Kustaajabisha,” Rafiki, Machi. 2023, 39.

Mimi ni wa Kustaajabisha

Picha
PDF ya Shughuli

Jaza nafasi wazi na uning’inize ukurasa huu mahali unapoweza kuona kila siku!

Mimi ni mtoto mpendwa wa wazazi wa mbinguni.

Hakuna mtu aliye kama mimi ulimwenguni kote!

Mimi ni jasiri pale ninapokuwa __________________.

Ninaweza kuwa mkarimu kwa __________________.

Njia moja ambayo mimi ni maridadi ni __________________.

Njia moja ambayo mimi ni imara ni __________________.

Kitu kigumu kinapotokea, mimi naweza __________________.

Chapisha