2023
Nisimulie Hadithi za Yesu
Machi 2023


“Nisimulie Hadithi za Yesu,” Rafiki, Machi. 2023, 30.

Ninaweza Kulicheza

Nisimulie Hadithi za Yesu

Kwa utamu [robo noti yenye nukta] = 60–68 (Ongoza katika mapigo mawili kwa kipimo.)

Picha
karatasi ya noti ya muziki

1. Nisimulie hadithi za Yesu ninazopenda kusikia,

Vitu ambavyo ningemwomba Yeye anambie kama angekuwa hapa.

Mandhari za njiani, simulizi za baharini,

Hadithi za Yesu, nisimulie mimi.

2. Ee, na nisikie jinsi watoto walivyosimama kuzunguka goti lake.

Nitafikiria baraka Zake zikitulia juu yangu.

Maneno yaliyojaa ukarimu, matendo yaliyojaa neema,

Yote katika upendo wa nuru ya uso wa Yesu.

3. Nisimulie, katika lafudhi za kupendeza, jinsi bahari iliyochafuka,

Mashua ikisukwasukwa katika dhoruba ya Galilaya.

Na jinsi Mwalimu, kwa utayari na ukarimu,

Alikemea mawimbi na kunyamazisha upepo.

Chapisha