2023
Marafiki kwa Barua
Machi 2023


“Marafiki kwa Barua,” Rafiki, Machi. 2023, 1.

Marafiki kwa Barua

Napenda Kuona Hekalu

Picha
Msichana akionyesha kwa kidole Hekalu la Taipei Taiwan

Wan Ting Z., umri miaka 8, alitembelea Hekalu la Taipei Taiwan.

Mahali Tunaposoma Gazeti la Rafiki

Picha
Watoto watatu wakishikilia nakala za gazeti la Rafiki

Clarice, Olivia na Laura P., umri miaka 3, 8 na 11, wanasoma gazeti la Rafiki katika Kireno huko São Paulo, Brazil.

Kujenga Upendo

Picha
Watoto watatu wakiwa na hekalu lililotengenezwa kwa plastiki

Tulijenga mji wetu wa Sayuni kutoka katika shughuli za Njoo, Unifuate (Jan. 2022). Tulitaka kila mtu azingirwe katika upendo na ageuke kuelekea upande liliko hekalu.

Danieli, Samueli na Saria C., umri miaka 8, 5 na 11, huko Eure-et-Loir, Ufaransa

Chapisha