2023
Margo na Paolo
Machi 2023


“Margo na Paolo,” Rafiki, Machi. 2023, 34.

Margo na Paolo

Picha
Kaka, dada na baba wamekaa juu ya paa la nyumba

Vielelezo na Katie McDee

Kuanguka kwa wingi kwa vimondo kutaanza lini?

Dakika yoyote kuanzia sasa.

Picha
Msichana mwenye kutabasamu akionyesha kidole kwenye nyota

Kule! Naviona!

Picha
Msichana mkono wake ukiwa amefunika mdomo na mvulana mkono ukiwa shavuni pake

Lo!

Picha
Baba akiwa amekaa juu ya paa mikono yake imezungushwa kwa mwanae na binti yake

Je, viumbe vya Baba wa Mbinguni si vya kupendeza? Wakati wowote nitazamapo kuzunguka ulimwengu huu mzuri, ninaweza kuhisi upendo Wake.

Mimi pia.

Picha
Kivuli cha baba na watoto wakitazama kuanguka kwa wingi kwa vimondo angani.

“Mbingu zinatangaza utukufu wa Mungu” (Zaburi 19:1).

Chapisha