2023
Je, Yesu Angefanya Nini Kama Angekuwa hapa Leo?
Machi 2023


“Je, Yesu Angefanya Nini Kama Angekuwa hapa Leo?” Rafiki, Mar. 2023, 20.

Majibu kutoka kwa Mtume

Je, Yesu Angefanya Nini Kama Angekuwa hapa Leo?

Imetoholewa kutoka “Mungu miongoni Mwetu,” Liahona, Mei 2021, 8–11.

Picha
Yesu Kristo pamoja na watoto watatu wamemzunguka

Yeye angekujua wewe na matamanio ya moyo wako.

Vielelezo na Julissa Mora

Picha
Mvulana anatabasamu na kunyosha ngumi hewani.

Angewasaidia watu kuwa na imani na ujasiri.

Picha
Mvulama amekaa na anasoma kitabu

Yeye angefundisha ukweli.

Picha
Msichana akisali akiwa amepiga magoti

Angefundisha kwamba Mungu yu pamoja nasi.

Chapisha