2023
Kumfuata Yesu kwa Pamoja
Machi 2023


“Kumfuata Yesu kwa Pamoja,” Rafiki, Machi. 2023, 26–27.

Kumfuata Yesu kwa Pamoja

Picha
Neno “ushuhuda” likitamkwa kutoka kwenye vipande vya mbao

“Ushuhuda,” Joey R., umri miaka 7, Texas, Marekani

Picha
Mchoro wa mtoto wa Yesu Kristo akiwa nje pamoja na watoto

“Kristo Anatupenda,” Andrea V., umri miaka 8, Retalhuleu, Guatemala

Picha
Mchoro wa mtoto wa Yesu anatuliza Dhoruba

Gideon T., umri miaka 10, Michigan, Marekani

Picha
Mchoro wa mtoto wa dunia

Ella J., umri miaka 9, Uusimaa, Ufini

Picha
Mchoro wa mtoto wa hekalu

Paulo B., umri miaka 6, Paraná, Brazili

Picha
Picha ya uso wa mvulana akitabasamu

Ninajaribu kuwa mkarimu na kucheza pamoja na dada yangu mdogo, na inaburudisha! Ninajua kuwa mpole na kuonyesha upendo hunifanya mimi, familia yangu na Baba wa Mbinguni kuwa na furaha.

Ned B., umri miaka 7, Utah, Marekani

Picha
Picha ya uso wa mvulana akitabasamu

Nilihisi kuwa mtulivu na mwenye furaha nilipokuwa nabatizwa.

Tadeo B., umri miaka 8, Montevideo, Uruguai

Picha
Msichana akipunga mkono kwenye shamba la maua

Tulitembelea shamba la maua karibu na mahali tunapoishi. Nilihisi upendo wa Mwokozi nilipoona mng’aro wa rangi angavu za furaha katika mwangaza wa jua. Ninashukuru kuwa naishi katika ulimwengu huu maridadi!

Jazlyn E., umri miaka 6, Washington, Marekani

Picha
Picha ya uso wa msichana akitabasamu

Nilikuwa na woga kuchukua masomo ya kuogelea. Niliomba ili inisaidie kuwa jasiri vya kutosha kujifunza kuogelea. Roho Mtakatifu ndio bora zaidi!

Esther F., umri miaka 6, Texas, Marekani

Picha
Msichana akitumia lugha ya alama

Nina mwanafunzi mwenzangu ambaye ni kiziwi. Ninafanya alama ya maneno ili kumsaidia yeye darasani Ninahisi vizuri ninapomsaidia!

Avarie H., umri miaka 9, Utah, Marekani

Picha
Mvulana ameshika boti lililotengeneza kwa ustadi mkubwa na vijiti

Nimetengenezi boti ya Nefi kutokana na vijiti vilivyochongwa. Ninashukuru kwa mfano wa Nefi.

Ollie T., umri miaka 10, Alberta, Kanada

Picha
Picha ya uso wa msichana akitabasamu

Nina sali mara kwa mara na kujaribu kwa uwezo wangu wote kusaidia, hata kama ni kwa njia ndogo.

Cing N., umri miaka 12, Yangon, Myanmar

Chapisha