Machi 2023 Marafiki WapendwaSoma ujumbe kuhusu kupata amani kupitia Yesu Kristo Marafiki kwa BaruaKutana na baadhi ya marafiki kutoka ulimwenguni kote. Henry B. EyringAmani kutoka kwa MwokoziSoma ujumbe kutoka kwa Rais Henry B. Eyring kuhusu kuhisi amani kutoka kwa Mwokozi. Noelle BarrusSala ya Tetemeko la ArdhiViolet anasali kwa ajili ya amani wakati wa tetemeko la ardhi. Njoo, Unifuate Shughuli zaNjoo, Unifuate Tumia shughuli hizi ili kujifunza Njoo, Unifuate pamoja na familia yako. Andika MfanoAndika mfano wako mwenyewe wa kufundisha kuhusu injili. Maagano ya UbatizoJifunze njia yako ya agano ya kurudi hadi kwa Baba wa Mbinguni. Lucy Stevenson EwellKutimiza Ahadi YakeHappiness anafanya makosa na anatubu ili kutimiza ahadi yake ya ubatizo. Megan S.Siku ya Ubatizo WanguMegan S. anaelezea kuhusu siku yake ya ubatizo. Kitafute!Je, unaweza kutafuta vitu vilivyofichwa ndani ya picha? Kitabu cha Kumbukumbu ya UbatizoTengeneza kitabu cha kukumbuka ubatizo wako. Kumfuata Yesu huko KiribatiKutana na Scott kutoka Kiribati na ujifunze jinsi yeye anavyomfuata Yesu. Halo kutoka KiribatiFanya ziara ili kujifunza kuhusu Kiribati Dieter F. UchtdorfJe, Yesu Angefanya Nini Kama Angekuwa hapa Leo?Soma ujumbe kutoka kwa Mzee Dieter F. Uchtdorf kuhusu Yesu angefanya nini kama angelikuwa hapa leo. Mzingile wa MuujizaJibu maswali kuhusu miujiza ya Yesu ili kupata njia yako ya kupitia kwenye mzingile huu. Katie MorrellKitabu cha DinosauSophia anakasirika pale mvulana anapomwambia kuwa hawezi kusoma kitabu kuhusu dinosaui. Yeye anajifunza kwamba tofauti ni sehemu ya mpango wa Baba wa Mbinguni na kwamba sisi sote tunapaswa kutendeana kwa ukarimu. Yesu Kristo AlibatizwaSoma hadithi ya Biblia juu ya ubatizo wa Yesu Kristo. Kumfuata Yesu kwa PamojaMkusanyiko wa nukuu za watoto kutoka ulimwenguni kote. Hilary Watkins LemonUkarimu kwenye JukwaDamien anakasirika kwa kuwa dada yake hajui jinsi ya kucheza mchezo. Nisimulie Hadithi za YesuJifunze kucheza toleo lililorahisishwa la “Nisimulie Hadithi za Yesu.” Vebika H.Lengo Langu la Kitabu cha MormoniVebika H. anaelezea jinsi alivyoweka lengo la kusoma Kitabu cha Mormoni. Peter M. JohnsonKimbia kuelekea kwenye NuruMzee Peter M. Johnson anasimulia hadithi ya jinsi alivyopata matumaini kupitia injili. Margo na PaoloMargo, Paolo na baba yao wanafikiria kuhusu uumbaji wa Baba wa Mbinguni wanapoangalia kuanguka kwa wingi kwa vimondo angani. Kwa Watoto Wakubwa Kwa Watoto WakubwaUtangulizi wa sehemu ya Kwa Ajili ya Watoto Wakubwa Don HyunTatizo la KushirikiAndrew anajifunza jinsi gani ya kushiriki na kaka yake. Je, Malengo Yako ni Yapi na Ndoto Zako ni Zipi?Mkusanyiko wa nukuu za watoto kuhusu malengo yao na ndoto zao. Mimi Ni wa KustaajabishaJaza mianya ili kukusaidia wewe kujipenda mwenyewe! Mikaela WilkinsNi Lillian TuLillian ana hofu kuhusu kuwa yeye peke yake katika darasa lake jipya la Wasichana, lakini anasali apate msaada na faraja. Lengo TamuTafuta mistari miwili iliyo na vyakula vya aina moja. Kwa ajili ya Marafiki Wadogo Kwa ajili ya Marafiki WadogoKutana na baadhi ya marafiki wadogo kutoka ulimwenguni kote. Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa MkarimuSoma kuhusu jinsi unavyoweza kuwa mkarimu kama Yesu alivyokuwa. Yesu Anatuliza DhorubaSoma hadithi kuhusu Yesu akituliza dhoruba. Ninapenda Kujifunza kuhusu YesuWafundishe watoto wako wadogo kwa kutumia ukurasa wa kupaka rangi unaolenga kwenye injili. Ujumbe wa mwezi huu ni, “Napenda Kujifunza kuhusu Yesu.” Shughuli za Njoo, Unifuate kwa ajili ya Watoto WadogoTumia shughuli hizi ili kujifunza Njoo, Unifuate pamoja na watoto wadogo. Wapendwa WazaziSoma ujumbe kwa ajili ya wazazi kuhusu kuwaandaa watoto kwa ajili ya ubatizo.