Mkutano Mkuu wa Oktoba 2021 Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Russell M. NelsonUkweli Halisi, Mafundisho Halisi na Ufunuo HalisiRais Nelson anawakaribisha watu kwenye mkutano mkuu na kuwaalika kusikiliza ukweli halisi, mafundisho halisi ya Kristo na ufunuo halisi. Jeffrey R. HollandMali NyingiMzee Holland anatufundisha kumpenda Mungu na kumfuata kikamilifu. Bonnie H. CordonNjoo kwa Kristo na Usije Peke YakoDada Cordon anafundisha kwamba sote tu watoto wa Mungu na kwamba dhumuni letu la milele ni kuwaleta wengine kwa Kristo. Ulisses SoaresHuruma ya Kudumu ya MwokoziMzee Soares anatufunza kwamba tunapaswa kufuata mfano wa Mwokozi wa huruma kwa ajili ya wengine kwa kuzuia hukumu na kuwa na subira. D. Todd ChristoffersonUpendo wa MunguMzee Christofferson anafundisha kwamba amri huwakilisha upendo wa Mungu kwa ajili yetu na kutoa njia ya uponyaji, furaha, amani na shangwe. Clark G. GilbertKuwa Zaidi katika Kristo: Mfano wa MteremkoMzee Gilbert anafundisha kwamba licha ya hali zetu, Bwana anaweza kutusaidia kufikia uwezekano wetu wa juu. Patricio M. GiuffraUtafutaji kwa Uaminifu Hupewa TuzoMzee Giuffra anatualika kushangilia baraka ambazo huja kwa kuwa na imani katika Yesu kristo. Dallin H. OaksHitaji la KanisaRais Oaks anafundisha baraka za kuwa wa Kanisa la Yesu Kristo. Kikao cha Jumamosi Alasiri Kikao cha Jumamosi Alasiri Henry B. Eyring Kuwakubali Viongozi Wakuu wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo na Maafisa WakuuRais Eyring anawasilisha Viongozi Wakuu Wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo na Maafisa Wakuu kwa ajili ya kura ya kuwakubali. David A. BednarKwa Nguvu za Mungu katika Utukufu MkuuMzee Bednar anafundisha kwamba kuheshimu maagano yetu hutusaidia kupokea nguvu ya uungu katika maisha yetu. Ciro SchmeilImani ya kutenda na KuwaMzee Schmeil anafundisha kwamba tunaweza kuwa wafuasi wazuri zaidi wa Yesu Kristo wakati tunapouliza, kutenda, na kujifunza. Susan H. PorterUpendo wa Mungu: Unafurahisha moyo kwa shangweDada Porter anafundisha kwamba Baba wa Mbinguni na Yesu Kristo wana upendo msafi kwa kila mmoja wetu na kwamba kushiriki upendo Wao kunaweza kutubariki. Erich W. KopischkeKuzungumzia Afya ya AkiliMzee Kopischke anashiriki baadhi ya ugunduzi kuhusu afya ya akili, uliojikita juu ya baadhi ya majaribu ambayo familia yake imeyapitia. Ronald A. RasbandMambo ya Nafsi YanguMzee Rasband anashiriki “mambo saba ya nafsi yake”—kanuni za thamani ambazo hutoa lengo katika maisha yake kama mfuasi wa Yesu Kristo. Christoffel GoldenKujiandaa kwa ajili ya Ujio wa Pili wa KristoMzee Golden anafundisha kwamba tunakaribia Ujio wa Pili, siku ya kuomboleza kwa waovu, lakini itakuwa siku ya amani kwa wenye haki. Moisés VillanuevaKupendelewa na Bwana katika Siku Zangu ZoteMzee Villanueva anatumia mifano ya Mwokozi, Nefi, na mmisionari kuonyesha jinsi tunavyoweza kukabiliana na dhiki kwa furaha na huruma. Gary E. StevensonYenye Kupendeza kwa Urahisi—Yenye Urahisi wa KupendezaMzee Stevenson anatumia hadithi kutoka kwa Watakatifu wa Siku za Mwisho wanne kuelezea njia ambazo tunaweza kutimiza majukumu matakatifu yaliyoainishwa. Kikao cha Jumamosi Alasiri Kikao cha Jumamosi Alasiri M. Russell Ballard“Je, Wanipenda Mimi Zaidi Ya Hawa?”Rais Ballard anatufundisha jinsi tunavyoweza kuonyesha kwamba tunampenda Mwokozi kuliko viti vyote vya dunia kwa kumuamini Yeye, kumtumikia Yeye, na kuwatumikia wengine Sharon EubankNaomba Yeye Atutumie SisiDada Eubank anatoa ripoti ya juhudi za misaada ya kibinadamu wa Kanisa wa karibuni. Brent H. NielsonJe, Hapana Zeri katika Gileadi?Mzeee Nielson anafundisha kwamba Mwokozi anayo nguvu ya kuponya mioyo yetu na kutusaidia kupita majaribu yetu na kuponya miili yetu. Arnulfo ValenzuelaKuimarisha Uongofu Wetu kwa Yesu KristoMzee Valenzuela anafundisha kwamba tunaweza kufanya uongofu wetu kuwa wa kina kwa kusoma maandiko na kujifunza zaidi kuhusu Yesu Kristo. Bradley R. WilcoxUstahili Si Kukosa DosariKaka Wilcox anafundisha kwamba hatuhitaji kuwa wakamilifu ili kupata neema na nguvu ya upatanisho ya Yesu Kristo katika maisha yetu. Alfred KyunguKuwa Mfuasi wa KristoMzee Kyungu anafundisha kuhusu kanuni nne ambazo zinaweza kutusaidia kuwa wafuasi bora zaidi wa Yesu Kristo. Marcus B. NashInua Mwangaza WakoMzee Nash anatufundisha kushiriki injili kikawaida na katika njia ya uhalisia ili sisi na wale tunaoshiriki nao tuweze kuwa na shangwe na baraka nyingi zingine. Henry B. EyringImani ya Kuuliza na Kisha KutendaRais Eyring anafundisha kwamba tunaweza kupokea ufunuo pale tunapoonyesha imani na tu radhi kutenda. Kikao cha Jumapili Asubuhi Kikao cha Jumapili Asubuhi Dieter F. UchtdorfUrejesho wa Kila SikuMzee Uchtdorf anafundisha kwamba sisi sote tanaelea wakati mwingine lakini kwamba tunaweza kuipata njia kwa kufuata kila siku alama za kiroho Mungu amepatiana. Camille N. JohnsonMwalike Kristo Aandike Hadithi YakoDada Johnson anafundisha jinsi tunavyoweza kumruhusu Mwokozi kuwa mwanzilishi na mkamilishaji wa simulizi zetu binafsi kwa kuwa na imani zaidi na kumruhusu Mungu ashinde katika maisha yetu. Dale G. RenlundAmani ya Kristo Huondoa UaduiMzee Renlund anafundisha kwamba kwa kuweka upendo wa Mungu na ufuasi wetu wa Yesu Kristo kwanza, tunaweza kushinda tofauti zetu na kupata amani. Vaiangina SikahemaNyumba ya Mfululizo wa UtaratibuMzee Sikahema Wasaidie kwamba baraka ambazo zinawezakuja tunapoishi injili na kufanya vitu kwa utaratibu sahihi. Quentin L. CookAmani Binafsi katika Nyakati zenye ChangamotoMzee Cook anashiriki mafundisho matano ya Yesu Kristo ambayo yanaweza kutusaidia kupunguza ubishi na kupata amani katika nyakati za leo zenye changamoto. Russell M. NelsonHekalu na Msingi Wako wa KirohoRais Nelson anarejelea kazi ya msingi wa Hekalu la Salt Lake kufundisha jinsi ibada na maagano ya hekaluni vinavyoimarisha msingi wetu wa kiroho. Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili Mchana Gerrit W. GongTumaini TenaMzee Gong anafundisha kwamba tumaini ni tendo la imani na kwamba tunapomtumaini Mungu na kila mmoja wetu, tunapokea baraka za mbinguni. L. Todd BudgeKutoa Utakatifu kwa BwanaAskofu Budge anatoa ripoti ya juhudi za Kanisa za karibuni za huduma ya kibinadamu na kufundisha kwamba dhabihu zetu katika hizi juhudi na zingine ni vipawa vilivyotolewa wakfu kwa Bwana. Anthony D. PerkinsWakumbuke Watakatifu Wako Wanaoteseka, Ee Mungu WetuMzee Perkins anashiriki kanuni nne kuwasaidia wale wanaoteseka kupata tumaini na shangwe katika Yesu Kristo. Michael A. DunnAsilimia Moja Bora ZaidiMzee Dunn anafundisha kwamba kila juhudi ya kutubu, bila kujali udogo wake, inaweza kuleta baraka kuu. Sean DouglasKukabiliana na Vimbunga Vyetu vya Kiroho kwa Kuamini katika KristoMzee Douglas anafundisha kwamba tunakabiliana na dhiki vyema kwa kuwa na imani katika Yesu Kristo na kushika amri zake. Carlos G. Revillo Jr.Miujiza ya Injili ya Yesu KristoMzee Revillo anafundisha kwamba kutii kanuni na ibada za injili hutubariki na kutusaidia kwenye kuongoka. Alvin F. Meredith IIIAngalia BarabaraniMzee Meredith anatumia hadithi ya Petro alitembea juu ya maji kufundisha kwamba kwa tukifokasi kwa Kristo na kujihadhari na vinavyovuta mawazo, tunaweza kuokolewa. Neil L. AndersenJina la Kanisa Si Jambo la MjadalaMzee Andersen anafundisha juu ya umuhimu wa kutumia jina lililofunuliwa la Kanisa. Russell M. NelsonTenga Muda kwa ajili ya BwanaRais Nelson anafundisha kuhusu umuhimu wa kutenga muda kwa ajili ya Bwana kila siku na kutangaza mahekalu mapya.