“Utangulizi,” Hadithi za Kitabu cha Mormoni (2023)
Utangulizi
Hadithi za Kitabu cha Mormoni kwa sasa kinaendelezwa. Mkusanyo kamili utasaidia kujifunza maandiko kwa mtu binafsi na kwa familia pamoja na Njoo, Unifuate nyenzo ya Kitabu cha Mormoni.
Mkusanyiko utakuwa na hadithi zilizoorodheshwa hapo chini. Hadithi zitachapishwa zitakapokuwa zimekamilishwa.
Maoni na mapendekezo yanakubaliwa. Tafadhali tuma maoni yako kwa scripture-stories@ChurchofJesusChrist.org.
-
Abinadi na Mfalme Nuhu
-
Alma kwenye Maji ya Mormoni
-
Mfalme Nuhu na Mfalme Limhi
-
Alma na Watu Wake
-
Alma na Amuleki Gerezani
-
Amoni
-
Abishi
-
WanaAnti‑NefiLehi
-
Alma na Korihori
-
Wazoramu
-
Kapteni Moroni na Zerahemna
-
Bendera ya Uhuru
-
Mwanamwali Mtumishi Mnefi
-
Teankumu
-
Akina mama wa Jeshi la Vijana
-
Jeshi la Vijana
-
Kapteni Moroni na Pahorani
-
Teankumu na Moroni
-
Wana ndugu Nefi na Lehi
-
Nefi Nabii
-
Samweli Nabii
-
Ishara za Kuzaliwa Yesu
-
Yesu Anatembelea Watu
-
Yesu Anawachagua Mitume Kumi na Wawili
-
Yesu Anawafundisha Watu
-
Yesu Anawabariki Watoto
-
Yesu Anashiriki Sakramenti
-
Yesu Anarudi kwa Baba Yake
-
Nabii Mormoni
-
Yaredi na Familia Yake
-
Nabii Etheri
-
Nabii Moroni